Zero 2 Hero
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 532
- 1,072
Nilipiga hesabu ukitaka kufanya biashara ya chips ya kisasa unahitajika mtaji wa angalau 1M Ndio maana nikataka partnership. Tuwe tuna-comment kuelimisha na kusaidiana mawazo siyo kukatishana Tamaa. Mimi ninavifaa vyote ila bado sijapanga frem hivyo nikipata mbia tutajadiliana kuhusu sehemu ya kuwekaNdugu chips tu unataka partnership au una mengine?
...moja kati ya biashara inayofanywa kimazoea sana;ubunifu zero kabisa!.....hakikisha mnamaliza ufundi kwenye viungo na masotojo,kama watoto wa Ilala!Nilipiga hesabu ukitaka kufanya biashara ya chips ya kisasa unahitajika mtaji wa angalau 1M Ndio maana nikataka partnership. Tuwe tuna-comment kuelimisha na kusaidiana mawazo siyo kukatishana Tamaa. Mimi ninavifaa vyote ila bado sijapanga frem hivyo nikipata mbia tutajadiliana kuhusu sehemu ya kuweka
Nimeshapata kwa sasa tunatafuta mtaalamu wa chiko la chipsDah inachangamoto sana hii haswa kama umemkuta mtu alishaanzishaga hapo jirani afu we ukaja lakini ni biashara ya uhakika kama utapata location nzuriii dah na wazee wa chumaulete nao pia ni kati ya watu wanaoisumbua sanaa hii biashara iasee!!! Nilishafanya ila ndo ikafaaa kifo kibaya snaaa yaani snaaa!!! Unajua mkiwa patnashipu mnatakiwa muwejee!!!!
sijakupata mkuu chiko la chips fafanua hapoo??!Nimeshapata kwa sasa tunatafuta mtaalamu wa chiko la chips
Mtaalamu wa kukaanga chips, kuku, samaki na kuchoma mishikaki pia kuandaa kachumbari na chachandusijakupata mkuu chiko la chips fafanua hapoo??!
Mnataka kuifanyia wapi hii biashara ili kwamba kuna mtu nijaribu kumcheki japo ni miezi 3 sasa sijawasiliana naeMtaalamu wa kukaanga chips, kuku, samaki na kuchoma mishikaki pia kuandaa kachumbari na chachandu
Mtaji wa 1M kwa chips Dar es salaam ni mdogo kv ukitaka eneo zuri hiyo 1M inaweza kuishia kwenye kukodi eneo! Kwa mfano, kodi ya laki 1 kwa mwezi utapata eneo la kawaida sana ambalo linaweza lisiwe na biz mzuri! Na hata ukipata eneo zuri kwa hiyo bei, hapo utahitaji laki 7 kulipia ( + laki ya dalali ) which means kwenye 1M unabaki 300K!Nilipiga hesabu ukitaka kufanya biashara ya chips ya kisasa unahitajika mtaji wa angalau 1M Ndio maana nikataka partnership. Tuwe tuna-comment kuelimisha na kusaidiana mawazo siyo kukatishana Tamaa. Mimi ninavifaa vyote ila bado sijapanga frem hivyo nikipata mbia tutajadiliana kuhusu sehemu ya kuweka
Nishazungumza nae now kasema yuko makumbusho, naku-pm namba yake mtazungumza kila kitu huko. yeye anaishi kinondoni kwa utaalamu kwake usitie shaka mkuu me niliwahi kufanya nae hiyo biashara!!Jirani na Chuo cha kampala
Asante kwa ushauri wakoMtaji wa 1M kwa chips Dar es salaam ni mdogo kv ukitaka eneo zuri hiyo 1M inaweza kuishia kwenye kukodi eneo! Kwa mfano, kodi ya laki 1 kwa mwezi utapata eneo la kawaida sana ambalo linaweza lisiwe na biz mzuri! Na hata ukipata eneo zuri kwa hiyo bei, hapo utahitaji laki 7 kulipia ( + laki ya dalali ) which means kwenye 1M unabaki 300K!
Kufanya biashara ya chips kisasa unaanzia na mazingira; which means hiyo 300K itaishia kwenye kuandaa mazingira bora na ya kisasa!!
Kutokana na huo mchanganuo utaona ni namna gani 1M isivyotosha!
REMEMBER: Bei ya laki 1 kwa mwezi utapata eneo la kawaida sana!! Mbaya zaidi; wamiliki wa haya maeneo ya kawaida ni maskini wenzetu lakini waliojawa tamaa! Wewe mwenyewe ukishaona tu biz inaenda vizuri basi jiandae kutafuta eneo lingine kv anaweza kukuchomolea kuongeza mkataba!! Anaona unapata kwahiyo anaingia tamaa wewe uondoke afanye yeye/wao wenyewe!
Naomba mawasiliano yako mkuuBig up !!!! Keep it up mdogo mdogo ndio mwendo....me labda ushaur tu mkitaka kuanza just inform me.....I ll help you by telling you how you can prepare nice sekela na sio kuku wakuchoma tu, nice mishkaki sio nyama choma....ukitaka partner naweza kua but I won't work at all....just share....but iwe really ya kisasa, it will require the capital kubwa zaid ya 1m for my exprnc, kwanza ntajyalika baadh ya sehem ufanye banchmark
Mtaji wa 1M kwa chips Dar es salaam ni mdogo kv ukitaka eneo zuri hiyo 1M inaweza kuishia kwenye kukodi eneo! Kwa mfano, kodi ya laki 1 kwa mwezi utapata eneo la kawaida sana ambalo linaweza lisiwe na biz mzuri! Na hata ukipata eneo zuri kwa hiyo bei, hapo utahitaji laki 7 kulipia ( + laki ya dalali ) which means kwenye 1M unabaki 300K!
Kufanya biashara ya chips kisasa unaanzia na mazingira; which means hiyo 300K itaishia kwenye kuandaa mazingira bora na ya kisasa!!
Kutokana na huo mchanganuo utaona ni namna gani 1M isivyotosha!
REMEMBER: Bei ya laki 1 kwa mwezi utapata eneo la kawaida sana!! Mbaya zaidi; wamiliki wa haya maeneo ya kawaida ni maskini wenzetu lakini waliojawa tamaa! Wewe mwenyewe ukishaona tu biz inaenda vizuri basi jiandae kutafuta eneo lingine kv anaweza kukuchomolea kuongeza mkataba!! Anaona unapata kwahiyo anaingia tamaa wewe uondoke afanye yeye/wao wenyewe![/QUOTAhahahah..