Zero 2 Hero
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 532
- 1,072
Nilipiga hesabu ukitaka kufanya biashara ya chips ya kisasa unahitajika mtaji wa angalau 1M Ndio maana nikataka partnership. Tuwe tuna-comment kuelimisha na kusaidiana mawazo siyo kukatishana Tamaa. Mimi ninavifaa vyote ila bado sijapanga frem hivyo nikipata mbia tutajadiliana kuhusu sehemu ya kuwekaNdugu chips tu unataka partnership au una mengine?