Mkuu au niingie mwenyewe mzigoni nimpige kwanza huyu mfanyakaz pending?Jitathimini kwa kuangalia kipimo cha iyo Chips na nivizuri ukawadadisi wakaanga Chips wengine..
Nina mashuhuda wanasema iyo biashara inalipa sasa nashangaa wewe unalia loss tena
Ndo itakupasa ufanye uchunguzi kwanza kabla ya ku conclude.Mkuu au niingie mwenyewe mzigoni nimpige kwanza huyu mfanyakaz pending?
Mswahili bana, we mwenyewe umechoka halafu unataka kujifanya ofisa uje kukusanya hesabu tu?Mkuu au niingie mwenyewe mzigoni nimpige kwanza huyu mfanyakaz pending?
Sawa mkuuRekebisha unapo kosea
Hapana nilikuwa bize kidogo na issue fulan nafatilia hvyo ilibid niweke mtu kwanza.Mswahili bana, we mwenyewe umechoka halafu unataka kujifanya ofisa uje kukusanya hesabu tu?
Hivi ni lini mtajifunza kwa wahindi? Hebu pita migahawa ya wahindi kama hujawakuta mke na mume wanakaba wenyewe cashier.
Hii biashara ina changamoto sana mkuu!Wadau naomben mnisaidia nimefungua kasehem kwaajili ya kuuza chipsi na huu ndo mwanzo yaani naelekea kukata tamaa maana kila siku nakula loss na nilikuwa nimeweka mtu nakosa hata pesa ya kumlipa em nisaidieni nifanyeje ili niikuze hiyo biashara? Maana wateja nnao wapata niwachipsi kavu tu hasa hata faida ikija nikidogo au kwakuwa ndo mwanzo au nifanyeje ili nikuze biashara yangu.
Mkuu naweza ingia pm nawe?Hii biashara ina changamoto sana mkuu!
But kwa experience yangu, niliwahi kuifanya kwa takribani miezi 8 hivi iko hivi..
1. Biashara ya chipsi huwezi ukaona faida kwa kuuza chipsi peke yake, hapo ni lazima uweke products zingine mfano. Mishikaki, ndizi, sausage, samaki, kuku, sambusa, kacholi...etc
2. Chipsi huwa zina hasara kwasababu ya upimaji wa chipsi kavu ni tofauti chipsi mayai hapo inabidi ipate sahani zenye plain surface ( isiwe imeingia kwa ndani) pia lazima umbane muuzaje na Mara kwenye viazi mfano Mimi ndio kubwa nilikua nanunua kwa elfu 15-17 nikiuza mpaka vikiisha napata Faida ya elfu 14-16 (hapo ni chipsi kavu tu nimepigia hesabu)
3. Weka kipimo ambacho hakimfurahishi mteja wala hakimfukuzi mteja ( pima kipimo ambacho ni average kwa kila sahani).
4. Kupunguza gharama usitumie mkaa Mwanzo mwisho unaweza tafuta jiko la maranda au Kuni mkaa tumia kwenye kukaangia chipsi mayai, kuchoma mishikaki, na kupashia chipsi.
Pia viazi nunua gunia kama mtaji unaruhusu, mafuta ya kukaangia nunua walau kindoo cha lita 10 na mayai kama trei tano, then piga kazi hapo utaona mabadiliko na faida utapata.
N.b cha muhimu zaidi usitegemee chipsi pekee ndio zikupe faida, ongeza makorokoro mengi kama niliyokutajia.
Rudia Uzi nime edit kidogo.Mkuu naweza ingia pm nawe?
Naweza ku pm?Rudia Uzi nime edit kidogo.
mkuu vaa gwanda mwenyewe kama miezi 2 hvi thn umtafute dogo,akikupiga changa la macho wewe unakua unamsoma tuu,mi nilifungua juice ya miwa mwanzo nilikomaa mwenyewe baadae nikamtafuta dogoMkuu au niingie mwenyewe mzigoni nimpige kwanza huyu mfanyakaz pending?
Mimi sijui mambo ya chipsi, lakini ninachojua biasha Yoyote ili ikulipe sharti la kwaza demand ya bidhaa iwe juu.Wadau naomben mnisaidia nimefungua kasehem kwaajili ya kuuza chipsi na huu ndo mwanzo yaani naelekea kukata tamaa maana kila siku nakula loss na nilikuwa nimeweka mtu nakosa hata pesa ya kumlipa em nisaidieni nifanyeje ili niikuze hiyo biashara? Maana wateja nnao wapata niwachipsi kavu tu hasa hata faida ikija nikidogo au kwakuwa ndo mwanzo au nifanyeje ili nikuze biashara yangu.
Hahahahah eti wengi mtanizodoa”Nilifungua hiyo biashara lkn hamna kitu [emoji26][emoji26] nilifungua maeneo ya chuo lakini wanafunzi wanaenda sehemu walizozizoea hadi nikaamua kufunga,,,so kwa ushauri wangu japo wengi mtanizodoa lkn tafuta njia za pembeni za kuvuta wateja walau kwa mwezi,baada ya hapo km chipsi nzuri watabaki tu kwako