lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Hiz biashara za kuleta hesabu inabd uwe jambaz hasa yan katiliMm pamoja na kuwafanyia njia hii lakini napo vijana wakashindwa biashara kichaa hii
Lakini kama huna muda wa kufuatilia ndo biashara rahisi kufanya, kwa mfano kama wewe ni Mwajiriwa. Biashara ya kumlipa mtu mshahara au kuweka ndugu ina changamoto kubwa sana kama huna muda wa kutosha kuwa nayo karibu.Hiz biashara za kuleta hesabu inabd uwe jambaz hasa yan katili
Mda ndio changamoto sana ka umeajiriwa ku balance kaziLakini kama huna muda wa kufuatilia ndo biashara rahisi kufanya, kwa mfano kama wewe ni Mwajiriwa. Biashara ya kumlipa mtu mshahara au kuweka ndugu ina changamoto kubwa sana kama huna muda wa kutosha kuwa nayo karibu.
Hahah hope ni mkazi wa hapa dom, wagogo hawanaga hasara yeyote kwenye maishaInategemea umepata kijana kutoka eneo gani, kama ni Mgogo hata ukimwambia kuwa asikuletee chochote bali pesa yote achuke, atashindwa tu.
Yani mtu una mnunulia kila kitu arafu una mwambia akupe hesabu ana shindwa ukifika ofcn full story biashara mbaya lkn ukiangalia vitu vime kwisha ana taka hela ya mzigo tenaInategemea umepata kijana kutoka eneo gani, kama ni Mgogo hata ukimwambia kuwa asikuletee chochote bali pesa yote achuke, atashindwa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wagogo wamekukosea nn hahahInategemea umepata kijana kutoka eneo gani, kama ni Mgogo hata ukimwambia kuwa asikuletee chochote bali pesa yote achuke, atashindwa tu.
Unamzawadia makofi kwanza ili ku restore settings, wagogo ni ma slow mo sana yani! Toka nakua na kuwajua wako hivyo na hata warangi jau tu, mishe hio mpe kijana wa Iringa au Mbeya kazi itaenda maana wamechangamka!Yani mtu una mnunulia kila kitu arafu una mwambia akupe hesabu ana shindwa ukifika ofcn full story biashara mbaya lkn ukiangalia vitu vime kwisha ana taka hela ya mzigo tena
Yani wame nifanya vitu nifungie ndaniUnamzawadia makofi kwanza ili ku restore settings, wagogo ni ma slow mo sana yani! Toka nakua na kuwajua wako hivyo na hata warangi jau tu, mishe hio mpe kijana wa Iringa au Mbeya kazi itaenda maana wamechangamka!
Uko maeneo gani mkuu,Yani wame nifanya vitu nifungie ndani
Very logic....Itakuwa vizuri kama utamwajiri bila kumlipa mshahara, bali chambua ufahamu gunia la viazi na gharama nyingine kama mafuta, mkaa n.k litanatoa shilingi ngapi, baada ya hapo awe anakulipa hesabu kwa siku kama Bodaboda, Bajaji au Daladala. Hiyo itamfanya aone kama naye ni sehemu ya kazi hiyo na atajituma zaidi. Changamoto ya kumlipa mshahara ni kwamba atakuwa na uhakika kuwa hata asipofanya kazi kwa bidii, mwisho wa mwezi atalipwa tu.
Hawajanikosea kitu ila hawana haraka na maisha, wewe si unaona Dar kama una ujenzi au kama kuna kazi vijana walishawahi kufanya kwako, baada ya muda wanakufuata au ukikutana nao njiani wanakuuliza Mzee hakuna kazi tena ? Hiyo kitu katika mkoa huo hakuna, mtu yuko radhi akuombe pesa umpe bure, lakini ukimwambia akusaidie kazi hata kufyeka eneo la ujenzi ili umpatie pesa hataki.[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wagogo wamekukosea nn hahah
Ni lazima uangalie seriusness ya kijana, ikibidi anza na mtaji kidogo ili umsome kama anahitaji maendeleo kweli. Otherwise, hilo litakuwa eneo la mabinti kujinjari.Very logic....
Ila mleta mada, usisahau kuangalia na nature ya huyo kijana pia. Maana mabanda mengi yanafungwa, kwa sababu ya kukosekana kwa vijana makini na machachali kwenye kazi hiyo.
Wagogo wavivu sana hawa watu..na wanapenda kuombaomba tu vya bureHawanikosea kitu ila hawana haraka na masha, wewe si unaona Dar kama una ujenzi au kama kuna kazi vijana walishawahi kufanya kwako, baada ya muda wanakufuata au ukikutana nao njiani wanakuuliza Mzee hakuna kazi tena ? Hiyo kitu katika mkoa huo hakuna, mtu yuko radhi akuombe pesa umpe bure, lakini ukimwambia akusaidie kazi hata kufyeka eneo la ujenzi ili umpatie pesa hataki.
Yaani hao watu waache kabisa !! Kuna mmoja alikuwa amenizoea kuniomba pesa kila wakati, nikamwambia ...nakupa muda wa mwezi mmoja, fikiria biashara zifuatazo: Banda la Nyama choma/Chips; Car Wash, kufuata kuku kijijini na kuwauza. Mimi nitakulipia kila kitu, tutaandikiana mkataba kwa Mwanasheria, tutakuwa tunagawana faida kadri ya mauzo. Baada ya maelezo hayo yenye faida lukuki kwake, akaanza kunikwepa, imefikia mahali akifika sehemu akaniona, anageuza!!!Unamzawadia makofi kwanza ili ku restore settings, wagogo ni ma slow mo sana yani! Toka nakua na kuwajua wako hivyo na hata warangi jau tu, mishe hio mpe kijana wa Iringa au Mbeya kazi itaenda maana wamechangamka!
Ni lazima uangalie seriusness ya kijana, ikibidi anza na mtaji kidogo ili umsome kama anahitaji maendeleo kweli. Otherwise, hilo litakuwa eneo la mabinti kujinjari.
Miti huota pasipo na wajenziYaani hao watu waache kabisa !! Kuna mmoja alikuwa amenizoea kuniomba pesa kila wakati, nikamwambia ...nakupa muda wa mwezi mmoja, fikiria biashara zifuatazo: Banda la Nyama choma/Chips; Car Wash, kufuata kuku kijijini na kuwauza. Mimi nitakulipia kila kitu, tutaandikiana mkataba kwa Mwanasheria, tutakuwa tunagawana faida kadri ya mauzo. Baada ya maelezo hayo yenye faida lukuki kwake, akaanza kunikwepa, imefikia mahali akifika sehemu akaniona, anageuza!!!
Sawa msomiUmenikumbusha mambo za: piece rate na time rate