Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Hiz biashara za kuleta hesabu inabd uwe jambaz hasa yan katili
Lakini kama huna muda wa kufuatilia ndo biashara rahisi kufanya, kwa mfano kama wewe ni Mwajiriwa. Biashara ya kumlipa mtu mshahara au kuweka ndugu ina changamoto kubwa sana kama huna muda wa kutosha kuwa nayo karibu.
 
Mda ndio changamoto sana ka umeajiriwa ku balance kazi
 
Inategemea umepata kijana kutoka eneo gani, kama ni Mgogo hata ukimwambia kuwa asikuletee chochote bali pesa yote achuke, atashindwa tu.
Hahah hope ni mkazi wa hapa dom, wagogo hawanaga hasara yeyote kwenye maisha
 
Yani mtu una mnunulia kila kitu arafu una mwambia akupe hesabu ana shindwa ukifika ofcn full story biashara mbaya lkn ukiangalia vitu vime kwisha ana taka hela ya mzigo tena
Unamzawadia makofi kwanza ili ku restore settings, wagogo ni ma slow mo sana yani! Toka nakua na kuwajua wako hivyo na hata warangi jau tu, mishe hio mpe kijana wa Iringa au Mbeya kazi itaenda maana wamechangamka!
 
Yani wame nifanya vitu nifungie ndani
 
Itakuwa vizuri kama utamwajiri bila kumlipa mshahara, bali chambua ufahamu gunia la viazi na gharama nyingine kama mafuta, mkaa n.k litanatoa shilingi ngapi, baada ya hapo awe anakulipa hesabu kwa siku kama Bodaboda, Bajaji au Daladala. Hiyo itamfanya aone kama naye ni sehemu ya kazi hiyo na atajituma zaidi. Changamoto ya kumlipa mshahara ni kwamba atakuwa na uhakika kuwa hata asipofanya kazi kwa bidii, mwisho wa mwezi atalipwa tu.
Very logic....

Ila mleta mada, usisahau kuangalia na nature ya huyo kijana pia. Maana mabanda mengi yanafungwa, kwa sababu ya kukosekana kwa vijana makini na machachali kwenye kazi hiyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wagogo wamekukosea nn hahah
Hawajanikosea kitu ila hawana haraka na maisha, wewe si unaona Dar kama una ujenzi au kama kuna kazi vijana walishawahi kufanya kwako, baada ya muda wanakufuata au ukikutana nao njiani wanakuuliza Mzee hakuna kazi tena ? Hiyo kitu katika mkoa huo hakuna, mtu yuko radhi akuombe pesa umpe bure, lakini ukimwambia akusaidie kazi hata kufyeka eneo la ujenzi ili umpatie pesa hataki.
 
Very logic....

Ila mleta mada, usisahau kuangalia na nature ya huyo kijana pia. Maana mabanda mengi yanafungwa, kwa sababu ya kukosekana kwa vijana makini na machachali kwenye kazi hiyo.
Ni lazima uangalie seriusness ya kijana, ikibidi anza na mtaji kidogo ili umsome kama anahitaji maendeleo kweli. Otherwise, hilo litakuwa eneo la mabinti kujinjari.
 
Hawanikosea kitu ila hawana haraka na masha, wewe si unaona Dar kama una ujenzi au kama kuna kazi vijana walishawahi kufanya kwako, baada ya muda wanakufuata au ukikutana nao njiani wanakuuliza Mzee hakuna kazi tena ? Hiyo kitu katika mkoa huo hakuna, mtu yuko radhi akuombe pesa umpe bure, lakini ukimwambia akusaidie kazi hata kufyeka eneo la ujenzi ili umpatie pesa hataki.
Wagogo wavivu sana hawa watu..na wanapenda kuombaomba tu vya bure
 
Unamzawadia makofi kwanza ili ku restore settings, wagogo ni ma slow mo sana yani! Toka nakua na kuwajua wako hivyo na hata warangi jau tu, mishe hio mpe kijana wa Iringa au Mbeya kazi itaenda maana wamechangamka!
Yaani hao watu waache kabisa !! Kuna mmoja alikuwa amenizoea kuniomba pesa kila wakati, nikamwambia ...nakupa muda wa mwezi mmoja, fikiria biashara zifuatazo: Banda la Nyama choma/Chips; Car Wash, kufuata kuku kijijini na kuwauza. Mimi nitakulipia kila kitu, tutaandikiana mkataba kwa Mwanasheria, tutakuwa tunagawana faida kadri ya mauzo. Baada ya maelezo hayo yenye faida lukuki kwake, akaanza kunikwepa, imefikia mahali akifika sehemu akaniona, anageuza!!!
 
Upo sahihi kabisa....umakini wa kuwasoma hawa vijana unahitajika kuwa mkubwa sana.
Ni lazima uangalie seriusness ya kijana, ikibidi anza na mtaji kidogo ili umsome kama anahitaji maendeleo kweli. Otherwise, hilo litakuwa eneo la mabinti kujinjari.
 
Yaani hao watu waache kabisa !! Kuna mmoja alikuwa amenizoea kuniomba pesa kila wakati, nikamwambia ...nakupa muda wa mwezi mmoja, fikiria biashara zifuatazo: Banda la Nyama choma/Chips; Car Wash, kufuata kuku kijijini na kuwauza. Mimi nitakulipia kila kitu, tutaandikiana mkataba kwa Mwanasheria, tutakuwa tunagawana faida kadri ya mauzo. Baada ya maelezo hayo yenye faida lukuki kwake, akaanza kunikwepa, imefikia mahali akifika sehemu akaniona, anageuza!!!
Miti huota pasipo na wajenzi
 
Nijuavyo, kwa shughuli/kazi ambazo hazipo katika mfumo rasmi wa ajira huwa ni makubaliano, mara nyingi hutegemea na aina ya kazi, muda wa kutumika kazini, umbali toka ofisini na makazi ya mfanyakazi, mazingira ya ufanyaji kazi, mauzo nakadhalika. Hivyo, ni dhahiri yawezekana kukawa hakuna uwiano sawa wa kiasi cha mshahara kwa watumishi husika. Nashauri:-
1. Unaweza ukafanya tathmini ya gharama unazotumia kwa siku, kiasi kinachozalishwa kutokana na mauzo ya bidhaa kisha kutaka upewe kiasi fulani cha pesa (faida) huku mtaji wako ukisalia kama ulivyo.
2. Unaweza ukaamua kimlipa kiasi flani cha pesa ambacho kitachochea awajibike ipasavyo katika kuhakikisha biashara yako inatengemaa hivyo kufikia malengo.
 
Back
Top Bottom