Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,866
- 1,076
...sasa hii itategemea na location ambayo ita determine idadi ya wateja kwa sikuHabari wakuu,
Nna idea ya kuweka vijiwe vya chips kama vitatu hivi alafi niweke vijana wapige kazi kwa makubaliano ya kuniletea hesabu kwa siku.
Nauliza kwa wazoefu,kwa siku hesabu ni sh ngapi?Ili kijana naye abaki na ela ya kuendeshea biashara,kulipa eneo na ya kwenda nayo home ?
Mkuu biashara haipo hivo take care
Umejipanga kuwekeza kiasi gani kwa kila kijiwe?
Kwenye chips tu,1 million
Vipi ni kubwa au ndgo?Kwenye chips tu,
Kwa msingi tu ni kubwa labda ununue kila kitu kama show case, majiko, sahani, kalai na vitu vingine kutegemea na standard ya kijiwe, concept yangu ni kuwa usianze kuwekeza pesa nyingi kwenye biashara ya kwanza mana hujui return wala changamoto ya hiyo biashara hivyo hata hivyo vijiwe utaanza kufungua cha kwanza baada ya mda utafungua kingine, na kingine nk ingawa apa umakini na uhusika asilimia 96 unaitajika sio ufungue umuache kijana apo, daahVipi ni kubwa au ndgo?
Asante sana..ntafanyia kaziKwa msingi tu ni kubwa labda ununue kila kitu kama show case, majiko, sahani, kalai na vitu vingine kutegemea na standard ya kijiwe, concept yangu ni kuwa usianze kuwekeza pesa nyingi kwenye biashara ya kwanza mana hujui return wala changamoto ya hiyo biashara hivyo hata hivyo vijiwe utaanza kufungua cha kwanza baada ya mda utafungua kingine, na kingine nk ingawa apa umakini na uhusika asilimia 96 unaitajika sio ufungue umuache kijana apo, daah
Pengine nakufundisha uoga ila ni mtazamo tu.
Vifaa,kodi na running cost1 milioni ndio pamoja na vifaa na kodi au ni operating capital tu?
Asante15000
kama ni chips tu kwa hyo 1M ni kubwa unless unataka kuweka vitu classic sana kama majiko ya gesi na makabati mazuri mazuri.Kwa msingi tu ni kubwa labda ununue kila kitu kama show case, majiko, sahani, kalai na vitu vingine kutegemea na standard ya kijiwe, concept yangu ni kuwa usianze kuwekeza pesa nyingi kwenye biashara ya kwanza mana hujui return wala changamoto ya hiyo biashara hivyo hata hivyo vijiwe utaanza kufungua cha kwanza baada ya mda utafungua kingine, na kingine nk ingawa apa umakini na uhusika asilimia 96 unaitajika sio ufungue umuache kijana apo, daah
Pengine nakufundisha uoga ila ni mtazamo tu.
Noted mkuukama ni chips tu kwa hyo 1M ni kubwa unless unataka kuweka vitu classic sana kama majiko ya gesi na makabati mazuri mazuri.
ukiweka 600k naona ni sawa bila majumuisho ya kodi sababu kodi ya eneo itatofautiana kulingana na location.
anza na kijiwe kimoja, fanya ujifunze changamoto zake na biashara inaendaje kiujumla. aidha nakuomba sana ndugu yangu ukishafungua kijiwe uwe unahudhuria mara kwa mara na ikibidi mwezi mmoja wa kwanza uwepo muda wote kusoma mchezo.
Baba utajichanganya. Biashara ya chipsi productivity yake inapimwa kwa Madebe ya viazi yaliyouzwa kwa siku
Ni biashara inayotegemea mambo mengi ili kufanikiwa. Kubwa ni wingi wa wateja. Chips kama chips zinategemea msimu. Kuna msimu gunia linauzwa 75,000. Na na kuna msimu 40,000. Faida utapata bei inaposhuka. Msimu wa 75,000 kitakachokupa faida nia vitu mbadala kama mayai, kuku n.k.
Kama nilivyosema hakuna faida kubwa kiasi kwamba anayetakiwa kufanya awe ndio mwendeshaji wa banda lenyewe. Sio biashara ya kuweka mfanyakazi. Mfano ukishawanunulia bidhaa chips, mayai, kuku, mafuta n.k. hata ungekaa hapo hapo wanakuibia usipokuwa mwangalifu. Ukiwaachia ndio kabisaa. Wanakunywa viroba. Jioni hela kiduchu.
Hata ungempa mtaji muuzaji akuletee kiasi maalumu kwa siku. Atamaliza mtaji bila kuleta tija yoyote.
Biashara ya chips inatakiwa kuendeshwa na mwenye mtaji mwenyewe sio kuachia watu. Utabaki na majiko tu.
Hapa nazunhumzia biashara ya maeneo ya kawaida Dar. Sio yanayouza sahani shs 5,000.