njoo pm tulongeHabari wakuu,
Nna idea ya kuweka vijiwe vya chips kama vitatu hivi alafi niweke vijana wapige kazi kwa makubaliano ya kuniletea hesabu kwa siku.
Nauliza kwa wazoefu,kwa siku hesabu ni sh ngapi?Ili kijana naye abaki na ela ya kuendeshea biashara,kulipa eneo na ya kwenda nayo home ?
Ngoja tuone itavokuaMm nime wahi Fanya hii biashara ni moja kati ya biashara ambayo ina hitaji usimamizi wa Hall ya juu kama Mimi wewe umesema una Fanya kazi arafu una taka kufungua biashara hii siku katishi tamaa ila kiukweli utalia na kusaga meno asilimia kubwa ya vijana hawa jitambui andika maumivu una kuta mahitaji yame kwisha arafu hela hakuna stori kibao . ukihitaji vitu kama kabati na jiko la pumba njoo nikuuzie nishaachana na hii biashara kichaa.. Ina hitaji usimamizi wa Hall ya juu
Karibu PM Mkuu
Cc Zero IQ
Karibu sanaNakuja PM mkuu
Mchanganuo wa biashara ni huu mkuu
Kwanza kabisa vifaa vyake muhimu
1: ile kabati ya kuhifazia chipsi inatakiwa iwe kubwa kiasi ngazi mbili au tatu itapendeza zaidi hapo kiasi ni 150k-250k
2:majiko mawili moja ya kuivishi chipsi nyingine ya kuchomea chipsi mayai mishikai N. K, hapo kila jiko itakost kuanzia 35k--45 kwa hiyo total pigia tu 90K,
3:vifaa vidogo vidogo kuna karai 10k--15k,sahani Dz 1 au 2 fanya 10K,koleo 3k,flampeni 2 5k, beseni dogo na kichujio chake kwa ndani 10K, vitu vidogo vidogo fanya 15K,
4:uje kwenye mazaga yenyewe.
Viazi gunia inategemeana na eneo ila bei kuanzia 45k--60,mafuta ya kula ndoo ndogo 30k,mkaa gunia moja inategemeana na eneo ila approximately ni 25k--40k,mayai tray 3 24K
Kwa kifupi kama hauna kifaa ata kimoja unatakiwa usiwe na chini ya 500k, na hapa ni kibanda tu cha kishkaji.
Faida zake,
Chipsi zina faida sana mkuu kama ukikaa location inayoeleweka inayoweza kumaliza kuanzia nusu gunia la viazi mpaka gunia moja na uwe na msimamizi imara huwezi kosa kuanzia 25k--45k kwa siku kama faida,
Hapo weka vyuku vyuku mishikaki,juice na N.k faida inakuwa mara dufu
Warning.
Usiwe na masihara ya kucheka na mademu, zingatia kipimo chako usisikie ya mteja anasema nini eti chipsi sishibi sijui chache mwambie aongeze hela umjazie.
Kuna kingine mkuu hapo ni kwa haraka haraka tu
CC Zero IQ
Karibu sana mkuuMkuu nakubali mtalamu sana nitakufuta nipete vifaa
Nina mtaji wa laki 3 na nusu, wakati natafuta ajira nimeona nijiajiri niuze chips, vipi mtaji unatosha? Any idea ya how to make them in a way it suits me (kisomi)?
Ushauri wenu unahitajika.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Maswali kutoka kwa wadau wengine kuhusu biashara hii
================================================
Michango ya wadau kuhusu mchanganuo wa biashara hii
================================================
Mfano: kwa siku unauza kilo 20 za viazi, trei moja ya mayai, na nyama kilo moja kwa uzoefu wako faida hapo haikosekani km shilingi ngap?Ushauri mzuri ukipata sehemu ambayo unaweza kuuza viazi kwa debe kwa siku mbona utafurahi maishani kaza mwendo kamanda kazi inalipa sana hiyo.
Inatosha kabisa Ila zingatia locationNina mtaji wa laki 3 na nusu, wakati natafuta ajira nimeona nijiajiri niuze chips, vipi mtaji unatosha? Any idea ya how to make them in a way it suits me (kisomi)?
Ushauri wenu unahitajika.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Maswali kutoka kwa wadau wengine kuhusu biashara hii
================================================
Michango ya wadau kuhusu mchanganuo wa biashara hii
================================================
Note down, believe him or notChipsi biashara itakayokupa mamilioni ndani ya miez michache
Kitambulisho cha 20,000/= kama mtaji hauzidi 4m Tsh.Wakuu hivii unapomiliki banda la chipsi na kuuza msosi ni lazima uwe na leseni??
Kitambulisho cha 20,000/= kama mtaji hauzidi 4m Tsh.
Tumia fursa vizuri mkuu.Shukran kiongoz
Tumia fursa vizuri mkuu.