masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Hii biashara ni ulimbo kwa wadada...hapo inabidi dogo apate semina elekezi namna ya kupambana na genye za ghafla...kama si hivyo..utashangaa gunia limekwisha alafu mfukoni ana buku tu...
yaaaaaa desa hiinamie nadesa hapa...
masaidada Vipiile biashara ya nguo UGANDA na yenyewe uliifanya?
anaifanya rafki angu
Nijambo jema sana hebu lete mrejesho vipi maendeleo yake na kwakuwa watu walitoa mawazo mengi cmbaya pia ukisema yy anafanya ipi kati yazile walizoshauri wadau.......
Hapo chini ya hii thread kuna Similar Topics, hebu jaribu kuzisoma utapata kitu hapo.
Tafuta sehemu yenye mademu wengi hasa pale ubungo NHC kota au kota za NHC mwananyamala utapiga miti mademu mpaka utajionea huruma ...
Mwenye kuijua biashara hii anisaidie kuorozesha vifaa nisivyo vijua
1.jiko
2.kikaango
3.kabati
4.kijiko cha kuchomea
5.sahani
6.vombo vya kulia
7.vibebeo kwa anaebeba
8.chili
9.tomato
s10.kachumbali
11.mayai
12.chumvi
kama kuna zaidi naomba
Tafuta sehemu yenye mademu wengi hasa pale ubungo NHC kota au kota za NHC mwananyamala utapiga miti mademu mpaka utajionea huruma ...
Wakuu, kwa makadirio kwa siku hii business inaweza kuingiza sh ngapi kwa mfano?
I'm curious to know that.
Mkuu inategemea na saiti ambayo upo,km upo saiti nzuri unaweza kuingiza zaidi ya kilo kwa wastani kwa siku,lkn km upo saiti mbaya hata kufikisha Misimbazi miwili inaweza ikawa ishu.Kuna kipindi nilikuwa Mbeya pale Igurusi kuna ndugu yangu alikuwa anachoma chips pale na alikuwa analaza zaidi ya Elfu hamsini kwa siku na hiyo ilikuwa ni mwaka 2009,hivyo kwa sasa itakuwa zaidi ya hapo.