masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Hii biashara ni ulimbo kwa wadada...hapo inabidi dogo apate semina elekezi namna ya kupambana na genye za ghafla...kama si hivyo..utashangaa gunia limekwisha alafu mfukoni ana buku tu...
wanafunzi ndo usiseme ukiuza chips hata usipomuomba anakupa