Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Hii biashara nimefanya na hapa ninapoandika nimefunga kwa muda.Ni biashara yenye pesa nzuri yes ila ina changamoto sana ambazo inabidi uzijuwe before.
Kama kuna mahali ambapo una target kuweka biashara yako anza kwa kufanya research ndogo ili kubaini kama kuna wengine wanauza chipsi kwama wapo nenda kajifunze wanavyofanya biashara(fanya kimya kimya) bila wao kujuwa.Hii itakusaidia kujuwa maboresho na namna ya kuongeza ushindani.
If you want to be the best learn from the best"Huu umsemo una maana sana katika biashara hii nenda sehemu ambapo ni mabingwa wa kuchoma chipsi au ingia YouTube alafu jifunze namna ya kuandaa.
Kama nilivyosema hiyo paragraph ya mwanzo hii biashara nimefanya ila nimefunga kwa muda.Kwangu nilifanya tafiti kabla ya kufungua biashara nikatafuta vijana hodari ambao wana uzoefu wa kutosha plus kuwapa elimu ya nyongeza biashara ikaanza.Wateja waliipokea vizuri sana na nilifanya biashara mimi nikiwa cashier.
Changamoto zake> Wale vijana waliacha kazi ghafla tu kuja kuchunguza wamefungua ofisi zao wanauza chipsi.Toka sijapata wafanyakazi kama wale wa mwanzo ikafika hatua nimefunga ili kwenda kutafuta wafanyakazi hata mikoani.
Ushirikina
Uaminifu. Zipo nyingi sana ila utajifunza zaidi ukishaanza
 
Mkuu ushirikina umewahi kujaribu na je uliona faida
 
Well mimi nitaongelea in general hii food business,kwa kweli biashara ya chakula aina yoyote ile ina marejesho mazur sana haswa haswa ni nusu kwa nusu yaani nusu faida nusu inarudi kwenye kuendesha biashara. Hapa mimi nilipo nafanya biashara ya bites asubuhi na kwa kweli Mungu anasadia tumesogeza gurudumu. Sehem nilipo mimi kuna ushindani mkubwa sana ila nilichojifunza ni kuwa tofauti na market player wengine toa kitu ambacho wengi wao hawawezi hii itakusaidia kuvuta wateja, jifunze from the best kama mdau mwingine alivyosema hapo juu tembelea katika sehem maarufu zaid ya mara tatu uone quality ya chakula chao na taste yao haibadiliki, watu wengi tunapenda vitu vizur na usafi hivo navyo jitahid sana.
Changamoto kweli ni nyingi kama alizosema ndg cc Mshana Jr kaunzia ushirikina sana pamoja na vijana wa kazi pia ni tatizo kubwa usipokuwa makini unaweza funga biashara yako
 
Nina mtaji wa laki 3 na nusu, wakati natafuta ajira nimeona nijiajiri niuze chips, vipi mtaji unatosha? Any idea ya how to make them in a way it suits me (kisomi)?

Ushauri wenu unahitajika.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Maswali kutoka kwa wadau wengine kuhusu biashara hii

================================================
Michango ya wadau kuhusu mchanganuo wa biashara hii
================================================
Kwa laki 3 huwezi kuifanya kisomi. Utaifanya "KI-SAKARA!"
 
Ras Dona mbona una uwalaza sasa? Au umenyoa rasta sahivi
chpz inalipa mbona mie mpishi nimesoma nje nimerud tz nauza chps kama nilizokua namlisha mzungu nimeboresha sio kabanda nimechukua frem nafanya mambo ndani.mfano hai nenda uwanja wa taifa kuna rasta anauza chips na source za ajabu ule ujuzi aliupata kwa wa portugues .mkuu nenda pale minazini bar ongea na yule ras gebo ndo bosi we mwambie kanipa maelekezo ras dona mueleze mawazo yako na angalia mapish yake viungo vya kuku na vingine venye umuhmu.kila laheri
 
Kuna kitu hujakiweka wazi,umesema ukikaa wewe faida inayopatikana ni kubwa na wakikaa madogo wanazingua, ni kwamba wanaiba au mauzo ndo yanapungua tu.?
1. Wape motisha vijana hata kuwaongezea pesa unayowalipa maana wanajua mauzo ya hapo, so lazima itakuwa utendaji wao unashuka sabab wanaona wanalipwa kidogo.
2.usikae mda mrefu bila kuzungukia maeneo sio wikiend hadi wikiend angalau basi ukitoka kwenye mishe zako hata kuanzia moja usiku unakaa hadi saa 4.
3.fanya uchunguzi ujue tatizo liko wapi japo hii ilitakiwa iwe la kwanza kulifanya
4.Nishawahi kutana na changamoto kama yako mwisho wa siku nikatafuta ndugu yangu ninae mwamini nikamweka na mambo yakaenda poa sana
Sasa ef 5 kila mmoja na bado wamekula tayari unasema hela ndogo? Huwez kuwa serious mkuu. Jamaa yeye anazuia mbau tu sasa ulitaka waende pasu na boss wao?
 
Wakuu Kuna usemi unasema usitegemee biashara 1 siku ikipatwa na changamoto ya wateja inafika muda unakosa hata Mia, kwa iyo unapaswa uwe na biashara hata 3

Mbali na Kua na salon ya kiume na plani nianzishe biashara ya kuuza chips mishkaki, mayai nk!

Naomba Mwenye uelewa na hii biashara kijana wa kufanya kazi yupo Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchanganuo wa biashara ni huu mkuu

Kwanza kabisa vifaa vyake muhimu

1: ile kabati ya kuhifazia chipsi inatakiwa iwe kubwa kiasi ngazi mbili au tatu itapendeza zaidi hapo kiasi ni 150k-250k

2:majiko mawili moja ya kuivishi chipsi nyingine ya kuchomea chipsi mayai mishikai N. K, hapo kila jiko itakost kuanzia 35k--45 kwa hiyo total pigia tu 90K,

3:vifaa vidogo vidogo kuna karai 10k--15k,sahani Dz 1 au 2 fanya 10K,koleo 3k,flampeni 2 5k, beseni dogo na kichujio chake kwa ndani 10K, vitu vidogo vidogo fanya 15K,

4:uje kwenye mazaga yenyewe.
Viazi gunia inategemeana na eneo ila bei kuanzia 45k--60,mafuta ya kula ndoo ndogo 30k,mkaa gunia moja inategemeana na eneo ila approximately ni 25k--40k,mayai tray 3 24K

Kwa kifupi kama hauna kifaa ata kimoja unatakiwa usiwe na chini ya 500k, na hapa ni kibanda tu cha kishkaji.

Faida zake,
Chipsi zina faida sana mkuu kama ukikaa location inayoeleweka inayoweza kumaliza kuanzia nusu gunia la viazi mpaka gunia moja na uwe na msimamizi imara huwezi kosa kuanzia 25k--45k kwa siku kama faida,

Hapo weka vyuku vyuku mishikaki,juice na N.k faida inakuwa mara dufu

Warning.
Usiwe na masihara ya kucheka na mademu, zingatia kipimo chako usisikie ya mteja anasema nini eti chipsi sishibi sijui chache mwambie aongeze hela umjazie.

Kuna kingine mkuu hapo ni kwa haraka haraka tu

CC Zero IQ
 
Hii nzuri.

Huu mwongozo nimeukubali subir mrejesho tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nashukuru Sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom