Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,060
HayaUjasiriamali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HayaUjasiriamali
asante zero IQ..Huwa napokea PM nyingi sana za wadau wakitaka kujua mchanganuo wa biashara ya chipsi,
Yaani kuanzia vifaa, mtaji wake na Nk.
Kiukweli siwezi kujibu PM ya kila mdau kwa wakati sasa nimeona bora nipaste kile nilichowaambia baadhi ya wale waliotaka kujua hapa ili kila mtu anaehitaji kujua asome hapa,
Mchanganuo wa biashara ya Chipsi ni huu, hapa ni kwa ule mtaji wa kawaida kabisa,
Kwanza kabisa vifaa vyake muhimu
1: ile kabati ya kuhifazia chipsi inatakiwa iwe kubwa kiasi ngazi mbili au tatu itapendeza zaidi hapo kiasi ni 150k-250k
2:majiko mawili moja ya kuivishi chipsi nyingine ya kuchomea chipsi mayai mishikai N. K, hapo kila jiko itakost kuanzia 35k--45 kwa hiyo total pigia tu 90K,
3:vifaa vidogo vidogo kuna karai 10k--15k,sahani Dz 1 au 2 fanya 10K,koleo 3k,flampeni 2 5k, beseni dogo na kichujio chake kwa ndani 10K, vitu vidogo vidogo fanya 15K,
4:uje kwenye mazaga yenyewe.
Viazi gunia inategemeana na eneo ila bei kuanzia 45k--60,mafuta ya kula ndoo ndogo 30k,mkaa gunia moja inategemeana na eneo ila approximately ni 25k--40k,mayai tray 3 24K
Kwa kifupi kama hauna kifaa ata kimoja unatakiwa usiwe na chini ya 500k, na hapa ni kibanda tu cha kishkaji.
Faida zake,
Chipsi zina faida sana kama ukikaa location inayoeleweka inayoweza kumaliza kuanzia nusu gunia la viazi mpaka gunia moja na uwe na msimamizi imara huwezi kosa kuanzia 25k--45k kwa siku kama faida,
Hapo weka vyuku vyuku mishikaki,juice na N.k faida inakuwa mara dufu
Onyo/NB.
kila biashara ina changamoto zake siwezi kuwa mchoyo wa kushindwa kukwambia haya, hii biashara ya chipsi ukitaka faida Usiwe na masihara ya kucheka na mademu, zingatia kipimo chako usisikie ya mteja anasema nini eti chipsi sishibi sijui chache mwambie aongeze hela umjazie ukileta utani unafunga kibanda.
KCC Zero IQ
Mods wafanye ukaguzi kuna mtu Ame hack account ya Zero man[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125] Aiseeeeeeee
Nagegeda huku nikiwa namiliki kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi mkuu.Mzee wa migegeduo kaja kivingine kabisa. Hongera!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] usinichekeshe bhana kuna viumbe wanajua humu kila mtu anaepost post mapenzi kila mara ni fool yaani hakuna kitu anajua katika dunia hii,Mods wafanye ukaguzi kuna mtu Ame hack account ya Zero man
Sharing is caringHuwa napokea PM nyingi sana za wadau wakitaka kujua mchanganuo wa biashara ya chipsi,
Yaani kuanzia vifaa, mtaji wake na Nk.
Kiukweli siwezi kujibu PM ya kila mdau kwa wakati sasa nimeona bora nipaste kile nilichowaambia baadhi ya wale waliotaka kujua hapa ili kila mtu anaehitaji kujua asome hapa,
Mchanganuo wa biashara ya Chipsi ni huu, hapa ni kwa ule mtaji wa kawaida kabisa,
Kwanza kabisa vifaa vyake muhimu
1: ile kabati ya kuhifazia chipsi inatakiwa iwe kubwa kiasi ngazi mbili au tatu itapendeza zaidi hapo kiasi ni 150k-250k
2:majiko mawili moja ya kuivishi chipsi nyingine ya kuchomea chipsi mayai mishikai N. K, hapo kila jiko itakost kuanzia 35k--45 kwa hiyo total pigia tu 90K,
3:vifaa vidogo vidogo kuna karai 10k--15k,sahani Dz 1 au 2 fanya 10K,koleo 3k,flampeni 2 5k, beseni dogo na kichujio chake kwa ndani 10K, vitu vidogo vidogo fanya 15K,
4:uje kwenye mazaga yenyewe.
Viazi gunia inategemeana na eneo ila bei kuanzia 45k--60k,mafuta ya kula ndoo ndogo 30k,mkaa gunia moja inategemeana na eneo ila approximately ni 25k--40k,mayai tray 3 24K
Kwa kifupi kama hauna kifaa ata kimoja unatakiwa usiwe na chini ya 500k, na hapa ni kibanda tu cha kishkaji.
Faida zake,
Chipsi zina faida sana kama ukikaa location inayoeleweka inayoweza kumaliza kuanzia nusu gunia la viazi mpaka gunia moja na uwe na msimamizi imara huwezi kosa kuanzia 25k--45k kwa siku kama faida,
Hapo weka vyuku vyuku mishikaki,juice na N.k faida inakuwa mara dufu
Onyo/NB.
kila biashara ina changamoto zake siwezi kuwa mchoyo wa kushindwa kukwambia haya, hii biashara ya chipsi ukitaka faida Usiwe na masihara ya kucheka na mademu, zingatia kipimo chako usisikie ya mteja anasema nini eti chipsi sishibi sijui chache mwambie aongeze hela umjazie ukileta utani unafunga kibanda.
CC Zero IQ
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] usinichekeshe bhana kuna viumbe wanajua humu kila mtu anaepost post mapenzi kila mara ni fool yaani hakuna kitu anajua katika dunia hii,
Mods wafanye ukaguzi kuna mtu Ame hack account ya Zero man
Nagegeda huku nikiwa namiliki kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi mkuu.
[emoji16][emoji16][emoji16] mimi nimeshawazoea huwa wanacheza na Zero IQ sio kucheza na kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi mkuu.Mimi pia nina shaka na mleta maada. Yaani Zero IQ aseme "Usiwe na masihara ya kucheka na mademu", hii kweli inawezekana kwa the real Zero??????
Of courseSharing is caring
Kabisa mkuuSafi sana mkuu, asiyesikia na asikie
Tanzania kwenye IT tuko vizuri..siunaona wame hack ID ya Zero IQMimi pia nina shaka na mleta maada. Yaani Zero IQ aseme "Usiwe na masihara ya kucheka na mademu", hii kweli inawezekana kwa the real Zero??????
Nimemkosa kuanzia juzi ila sijakata tamaa leo namuibukia tena yaani mpaka nimlambe sitokata tamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule mrembo aliyekula buku 5 zako umeshamlamba?