Biashara ya chips Morogoro Mjini

Biashara ya chips Morogoro Mjini

Positive maindset

New Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
4
Reaction score
1
Mimi ni kijana nliehitim chuo mwaka huu nmeamua nijiajiri kuuza chips biashara hii nataka nikaifanyie Morogoro coz maisha yangu nataka nikaishi huko.

Naomben USHAURI kwa wazoefu na wenyeji wa mkoa wa Morogoro MJINI wanishauri chimbo linalo faa na kuchangamka
 
Karibu kuuza viepe, Ila hata huku chipsi nyingi tu, sehemu za vyuoni au barabarani, kwenye mikusanyiko ya watu.
 
nenda kafanye kaz y kujitolea kwa wataalam wa chips, fanya kama mwez mmoja, utaondok na ujuz wa nguv
ASante boss npo najitolea hk dar but nataka nijue SEHEM ilio changamka kwa Moro kama wew ni mwenyeji nielekeze pia nipe changamoto za hii BIASHARA
 
Back
Top Bottom