P Positive maindset New Member Joined Dec 28, 2022 Posts 4 Reaction score 1 Dec 28, 2022 #1 Mimi ni kijana nliehitim chuo mwaka huu nmeamua nijiajiri kuuza chips biashara hii nataka nikaifanyie Morogoro coz maisha yangu nataka nikaishi huko. Naomben USHAURI kwa wazoefu na wenyeji wa mkoa wa Morogoro MJINI wanishauri chimbo linalo faa na kuchangamka
Mimi ni kijana nliehitim chuo mwaka huu nmeamua nijiajiri kuuza chips biashara hii nataka nikaifanyie Morogoro coz maisha yangu nataka nikaishi huko. Naomben USHAURI kwa wazoefu na wenyeji wa mkoa wa Morogoro MJINI wanishauri chimbo linalo faa na kuchangamka
saleni JF-Expert Member Joined Apr 6, 2019 Posts 1,880 Reaction score 2,843 Dec 30, 2022 #2 Positive maindset said: Mimi ni kijana nliehitim chuo mwaka huu nmeamua nijiajiri kuuza chips biashara hii nataka nikaifanyie Morogoro coz maisha yangu nataka nikaishi huko. Naomben USHAURI kwa wazoefu na wenyeji wa mkoa wa Morogoro MJINI wanishauri chimbo linalo faa na kuchangamka Click to expand... Karibu kuuza viepe, Ila hata huku chipsi nyingi tu, sehemu za vyuoni au barabarani, kwenye mikusanyiko ya watu.
Positive maindset said: Mimi ni kijana nliehitim chuo mwaka huu nmeamua nijiajiri kuuza chips biashara hii nataka nikaifanyie Morogoro coz maisha yangu nataka nikaishi huko. Naomben USHAURI kwa wazoefu na wenyeji wa mkoa wa Morogoro MJINI wanishauri chimbo linalo faa na kuchangamka Click to expand... Karibu kuuza viepe, Ila hata huku chipsi nyingi tu, sehemu za vyuoni au barabarani, kwenye mikusanyiko ya watu.
T TEMBO WANGU JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 930 Reaction score 1,290 Dec 30, 2022 #3 Nenda kafanye kaza ya kujitolea kwa wataalam wa chips, fanya kama mwezi mmoja, utaondoka na ujuzi wa nguvu
Nenda kafanye kaza ya kujitolea kwa wataalam wa chips, fanya kama mwezi mmoja, utaondoka na ujuzi wa nguvu
P Positive maindset New Member Joined Dec 28, 2022 Posts 4 Reaction score 1 Dec 31, 2022 Thread starter #4 saleni said: Karibu kuuza viepe, Ila hata huku chipsi nyingi tu, sehemu za vyuoni au barabarani, kwenye mikusanyiko ya watu. Click to expand... Santee mkuu wew ni mwenyeji wa huko unisaidie kunielekeza maeneo?
saleni said: Karibu kuuza viepe, Ila hata huku chipsi nyingi tu, sehemu za vyuoni au barabarani, kwenye mikusanyiko ya watu. Click to expand... Santee mkuu wew ni mwenyeji wa huko unisaidie kunielekeza maeneo?
P Positive maindset New Member Joined Dec 28, 2022 Posts 4 Reaction score 1 Dec 31, 2022 Thread starter #5 TEMBO WANGU said: nenda kafanye kaz y kujitolea kwa wataalam wa chips, fanya kama mwez mmoja, utaondok na ujuz wa nguv Click to expand... ASante boss npo najitolea hk dar but nataka nijue SEHEM ilio changamka kwa Moro kama wew ni mwenyeji nielekeze pia nipe changamoto za hii BIASHARA
TEMBO WANGU said: nenda kafanye kaz y kujitolea kwa wataalam wa chips, fanya kama mwez mmoja, utaondok na ujuz wa nguv Click to expand... ASante boss npo najitolea hk dar but nataka nijue SEHEM ilio changamka kwa Moro kama wew ni mwenyeji nielekeze pia nipe changamoto za hii BIASHARA