Cenilah laprincesser
Member
- Jan 25, 2021
- 58
- 51
Naweza kuanzisha biashara ya chips kwa mtajii wa laki tatu? Kama inawezekana ni kwa njia zipi? Na kama haiwezekani biashara gani inaweza kufaa kwa huo mtaji?
Msaada tafadhari!
Msaada tafadhari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona tu za miaka mingii nyumaKuna thread kibao JF kuhusu biashara ya chips zipitie
Sinaaa yaaan ndo naanzaMtaji wa laki tatu je vyombo na vifaa vingine unavyo?
Nifanye kuwasbrWajasiriamali ngoja tumalize kuangalia gem tunakuja!!
UlifanyjMm nimeanza na elf45 nanimetoboa hela zote hzo weka Hadi na kuku na mishikaki zake utatuboa vyema
Mm mwezio elf 45 ndio nikianzisha
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Usimkatishe tamaa mwenzio kwanza biashara inahitaji kukua taratibu kadri atakavyokuwa msafi na chakula chake, wabongo wanaoongoza kukatisha wengine tamaa ni ambao wengi uthubutu wa kuanzisha biashara hawana, ama ni wafanyakazi uzoefu wa biashara hakunaMtaji wa laki tatu je vyombo na vifaa vingine unavyo?
Cha muhimu angalia eneo unalotaka kuanzishia kibanda chako wateja ni wa aina gani, bei uiwekeje, vyombo standard ipi, usafi ndo kila kitu mtaji huo unatosha.....ila ikija kwenye viti chonga benchi zako za kawaida na vimeza vya kuchongaSinaaa yaaan ndo naanza
Usimkatishe tamaa mwenzio kwanza biashara inahitaji kukua taratibu kadri atakavyokuwa msafi na chakula chake, wabongo wanaoongoza kukatisha wengine tamaa ni ambao wengi uthubutu wa kuanzisha biashara hawana, ama ni wafanyakazi uzoefu wa biashara hakuna
Hapo nimemkatisha tamaa vipi? shida yako elimu ndugu yang sio bure. Ukitaka kumsaidia mtu lazima umpigie hesabu ajue kuwa mahitaji yake ni yapi.Usimkatishe tamaa mwenzio kwanza biashara inahitaji kukua taratibu kadri atakavyokuwa msafi na chakula chake, wabongo wanaoongoza kukatisha wengine tamaa ni ambao wengi uthubutu wa kuanzisha biashara hawana, ama ni wafanyakazi uzoefu wa biashara hakuna
Exactly 💯Wanasemaga the number one killer of dreams and big visions are family members, close friends and all people with low self esteem.
Mtoa mada, hakuna mtaji unaotosha kwenye biashara. Muhimu, kuwa na big picture na anza na ulichonacho.
Kwani ni lazima aanze na vitu vikubwa? Karai la efu40 la nini na akati ndio anaanza hajajua mzunguko ukoje, mkaa gunia la nini hajapata uhakika wa kumaliza hilo gunia, mafuta ndoo kiaje kwa kuanza hata lita5 inaanza...wanaopika nje maeneo ya wazi na chakula kinauzika je? Na unajua mazingira anayotaka kuanzisha biashara?Hapo nimemkatisha tamaa vipi? shida yako elimu ndugu yang sio bure. Ukitaka kumsaidia mtu lazima umpigie hesabu ajue kuwa mahitaji yake ni yapi.
Jiko la gesi: labda useme optional
Karai: bei 40000/-
Mafuta: bei 30000/-
Mkaa: 26000/ gunia dogo
Kodi: Frame ... huwezi pikiq nje
Viti na meza: hapa mbili tatu
Viazi: Ndoo 20000/-
Sahani:......
mambo mengi lazima ujue sio unakurupuka. Lazima hapo ajue anahitaji nni anyways....
Gunia la elfu 26 ni gunia dogo sana unajua bei ya mkaa. Unajua chips zinapikwa ma mkaa kiasi gan?Kwani ni lazima aanze na vitu vikubwa? Karai la efu40 la nini na akati ndio anaanza hajajua mzunguko ukoje, mkaa gunia la nini hajapata uhakika wa kumaliza hilo gunia, mafuta ndoo kiaje kwa kuanza hata lita5 inaanza...wanaopika nje maeneo ya wazi na chakula kinauzika je? Na unajua mazingira anayotaka kuanzisha biashara?
Uliyoyaongea ni sahihi kabisa ndugu wala hujakosea.Hapo nimemkatisha tamaa vipi? shida yako elimu ndugu yang sio bure. Ukitaka kumsaidia mtu lazima umpigie hesabu ajue kuwa mahitaji yake ni yapi.
Jiko la gesi: labda useme optional
Karai: bei 40000/-
Mafuta: bei 30000/-
Mkaa: 26000/ gunia dogo
Kodi: Frame ... huwezi pikiq nje
Viti na meza: hapa mbili tatu
Viazi: Ndoo 20000/-
Sahani:......
mambo mengi lazima ujue sio unakurupuka. Lazima hapo ajue anahitaji nni anyways....
Ili asaidiwe huyu mleta mada angetakiw ajibu kuwa hii biashara anatakiwa aganye wap?Uliyoyaongea ni sahihi kabisa ndugu wala hujakosea.
Kama tukifuata standard kabati tu la vioo litagharimu zaidi ya laki 2 na mtaji utakuwa umepukutika.
Sema tu inategemea hiyo biashara anataka kufanyia mazingira ya wapi.
Kama ni kijijini au uswazi anaweza kuanza kwa kuungaunga kwa kuweka mabenchi chini ya mti,na yeye ofisi yake inakuwa ni kibanda cha mabati.
Wateja wake wanakuwa wale wa kununua chipsi za buku hadi za jero pia mpaka pale.
Atadunduliza hivyo na kukuza mtaji mpaka pale atakapotimiza malengo yake sema tu inahitaji nidhamu ya hali ya juu.