Biashara ya chips

Biashara ya chips

Kuna ndugu yangu aliefanya hii biashara,Mara ya kwanza alipendekeza location nikaiangalia nikamwambia hapa hamna kitu huwezi fanya kazi hapo,wakachukua sehem nyingine,ndipo angalau akawa anapata faida,nilichojifunza nikwamba location ikiwa sehem umechangamka na unauwezo wa kuchoma chips yai hata kumi kwa siku angalau utakuwa safe side
 
Hapo nimemkatisha tamaa vipi? shida yako elimu ndugu yang sio bure. Ukitaka kumsaidia mtu lazima umpigie hesabu ajue kuwa mahitaji yake ni yapi.

Jiko la gesi: labda useme optional
Karai: bei 40000/-
Mafuta: bei 30000/-
Mkaa: 26000/ gunia dogo
Kodi: Frame ... huwezi pikiq nje
Viti na meza: hapa mbili tatu
Viazi: Ndoo 20000/-
Sahani:......

mambo mengi lazima ujue sio unakurupuka. Lazima hapo ajue anahitaji nni anyways....

Kwa nini aanze na mafuta ya 30,000 wakati lita nne zinatosha @4000
Mkaa anapimisha @1500
Kodi Za chips wengi hulipa per day
Viazi @kg 4,000 anaweza kuanza na kg kadhaa
Tray ya mayai 8,000
Karai 18,000
Sahani mfupa dozen 18,000
Jiko anaanza na mkaa

Hapo chap chap tu utaona 300,000 inafit kabisa
 
Unajua bei ya kabati sh ngap? bei ya kabati peke yake ni 200000
Pili unajua ili uone faida unatakiw uuze viazi kiasi gan? Kwa akili yako unafikiri akinunua ndoo tu anapat hela?

Ndio maana nimeuliza ushawah fany hii biashara au?
 
Gunia la elfu 26 ni gunia dogo sana unajua bei ya mkaa. Unajua chips zinapikwa ma mkaa kiasi gan?
Naweza kua naongea na mtu anayelisjwa na wazaz wake najisumbua.
Ushawahi fanya biashara ya chips?
Acha kupotosha watu wewe inaonekana hii biashara huna unachokijua!!mtu anaanza na mkaa wa kupima wa 5000,mafuta lita 2 ya 8000, viazi ndoo kubwa 16,000,kuku 2(15000),nyama kilo moja 12,000!!
 
Acha kupotosha watu wewe inaonekana hii biashara huna unachokijua!!mtu anaanza na mkaa wa kupima wa 5000,mafuta lita 2 ya 8000, viazi ndoo kubwa 16,000,kuku 2(15000),nyama kilo moja 12,000!!
Duh
Kupika chips sio kama kupika chakula cha nyumbani. Unapika chips kibiashara au unapika chips upike chips?
Nina boashara hii ndo maana nauliza maswali madogo tu niwasaidie sina haja ya kubishana. .

Kama mtoa mada hana kifaa chochote anataka kufanya bishara ya chips unaona mtaji wa laki tatu unatosha?

*Kabati tu la aluminum bei 150,000 mkononi

anyway ngoja nikujib sawa mjinga mjibu kutokana na ......
 
Hiyo 300,000 ni kubwa sana!!inategemea na ukubwa wa biashara anayotaka kuanza nayo!! Na sehemu,kuna sehemu unaenda kukodi unakuta vifaa vyote vipo ni mtaji wako,sasa hapo laki 3 itakuwa ndogo?
Kwa hiyo ndoo moja kubwq ya viazi hiyo ni ya kupika chipsi za nyumbani?!!watu wanaanza na mtaji wa 50,000!!!
 
Tafuta laki 2 engine anza biashara hapo changamoto kabati then usije kufanya biashara kwa kubahatisha fanya kweli.
 
Kwa nini aanze na mafuta ya 30,000 wakati lita nne zinatosha @4000
Mkaa anapimisha @1500
Kodi Za chips wengi hulipa per day
Viazi @kg 4,000 anaweza kuanza na kg kadhaa
Tray ya mayai 8,000
Karai 18,000
Sahani mfupa dozen 18,000
Jiko anaanza na mkaa

Hapo chap chap tu utaona 300,000 inafit kabisa
Mkaaa unapima 1500? Ebu kiweni serious bac… chips zinakula mkaa balaah . Labda aanzie kunu
 
Back
Top Bottom