Investo
JF-Expert Member
- May 19, 2020
- 557
- 1,200
Kuna ndugu yangu aliefanya hii biashara,Mara ya kwanza alipendekeza location nikaiangalia nikamwambia hapa hamna kitu huwezi fanya kazi hapo,wakachukua sehem nyingine,ndipo angalau akawa anapata faida,nilichojifunza nikwamba location ikiwa sehem umechangamka na unauwezo wa kuchoma chips yai hata kumi kwa siku angalau utakuwa safe side