Biashara ya chips

Biashara ya chips

Kwa nini mzee...sasa ndio m ipe points jama i jinsi ya kuhakikisha biashara inadumu
Kama una laki ya mtaji chukua nusu yake ndo iwe mtaji na vifaa usinunue nenda kakodi.....ili ukifirisika urudishe vifaa vya watu
 
Kama una laki ya mtaji chukua nusu yake ndo iwe mtaji na vifaa usinunue nenda kakodi.....ili ukifirisika urudishe vifaa vya watu
Asante. Hili nalo wazo.
Mafuta na gunia la viazi bei ikoje?
 
Back
Top Bottom