Biashara ya chipsi inaniumiza kichwa, nipeni mbinu wazoefu

Biashara ya chipsi inaniumiza kichwa, nipeni mbinu wazoefu

Hapa kuna kama miezi sita .ila nimechukua umiliki kutoka kwa mtu alieacha nami nikafungua biashara hiyo hiyo.
Mm pia nilichukua umiliki kama ww hvyo hvyo ikawa hata pesa ya kununulia mazaga nakosa nikapiga chin nikauza vitu ila simaanish na ww ufanye hvyo sema ipe Muda hiyoo biashara kwanza mpk wa wakuzoee sana
Ila sehem za kuachwa ndo uingie ww sio nzuri pia
 
Bismillah...

Nimeanza biashara ya kiepe yai .chipsi zege daresalamu .ila nachoomba kutoka kwa wadau wazoefu ni namna gani naweza kuongeza return per day.kwa maana hapa gharama za mafuta ni ghali japo viazi bei ni standard 60.000 kwa gunia na mafuta ni 6000 kwa litre. Kuku ni 6500 ila mwisho wa siku unajikuta unatoka na 20k na bado hujatoa vijana wa kazi. Nipeni uzoefu namna gani naweza kuongeza faida ya siku maana nauza ndoo mbili kubwa kwa siku hiyo ni minimum........
Punguza vijana
 
Mtaji wa biashara ni 190k .ila imenidondoka kama 1.7 milion kuanzisha hiyo place.ndio maana naumiza kichwa kutafuta altenative ya kuongeza kipato atleast nitoke japo na 30k baada ya operating costs.

Hakuna utajiri wa haraka kiongozi watu wanazibuliwa vyoo na bado hawajawahi kuwa matajiri,naona target yako ni kurudisha mtaji wako uliowekeza ndani ya mwezi mmoja ama miwili!,biashara haipo hivyo unaweza ukasota hata miezi 6 hujaingiza chochote wewe unabahati sana kuanza na faida ya 20k kumaanisha ukituliza akili utapata pesa
 
Acha kudanganya watu..kila biashara kila mtu naweza kufanya hakuna biashara special kwa ajili ya watu fulani.

Muelekeze namna ya kufanya biashara sio kumkatisha tamaa..

Unless kama unawatafutia kazi ndugu zako wa mchamba wima.

#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom