Biashara ya chipsi inaniumiza kichwa, nipeni mbinu wazoefu

Hapa kuna kama miezi sita .ila nimechukua umiliki kutoka kwa mtu alieacha nami nikafungua biashara hiyo hiyo.
Mm pia nilichukua umiliki kama ww hvyo hvyo ikawa hata pesa ya kununulia mazaga nakosa nikapiga chin nikauza vitu ila simaanish na ww ufanye hvyo sema ipe Muda hiyoo biashara kwanza mpk wa wakuzoee sana
Ila sehem za kuachwa ndo uingie ww sio nzuri pia
 
Punguza vijana
 
Mtaji wa biashara ni 190k .ila imenidondoka kama 1.7 milion kuanzisha hiyo place.ndio maana naumiza kichwa kutafuta altenative ya kuongeza kipato atleast nitoke japo na 30k baada ya operating costs.

Hakuna utajiri wa haraka kiongozi watu wanazibuliwa vyoo na bado hawajawahi kuwa matajiri,naona target yako ni kurudisha mtaji wako uliowekeza ndani ya mwezi mmoja ama miwili!,biashara haipo hivyo unaweza ukasota hata miezi 6 hujaingiza chochote wewe unabahati sana kuanza na faida ya 20k kumaanisha ukituliza akili utapata pesa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…