J jembe12 Member Joined Oct 18, 2012 Posts 58 Reaction score 7 Jan 7, 2013 #1 wakuu hv ni kwa nn asilimia kubwa ya wauza chipsi ni wababa nimepita sehemu nyingi za mijini cjaona wakina dada wakifanya hii biashara
wakuu hv ni kwa nn asilimia kubwa ya wauza chipsi ni wababa nimepita sehemu nyingi za mijini cjaona wakina dada wakifanya hii biashara
faby JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 2,214 Reaction score 767 Jan 7, 2013 #2 Labda wanaona ni kazi ya kiume
C cyruss Senior Member Joined Jan 13, 2012 Posts 196 Reaction score 40 Jan 7, 2013 #3 jembe12 said: wakuu hv ni kwa nn asilimia kubwa ya wauza chipsi ni wababa nimepita sehemu nyingi za mijini cjaona wakina dada wakifanya hii biashara Click to expand... Nenda pale Moshi uone wadada wanavyouza chips yai tena kila kitu wao kuanzia manunuzi, kumenya viazi mpka kupika tofauti ilivyo Dar wadada wengi hupenda saaana chips lakini hawafany kazi iyo.
jembe12 said: wakuu hv ni kwa nn asilimia kubwa ya wauza chipsi ni wababa nimepita sehemu nyingi za mijini cjaona wakina dada wakifanya hii biashara Click to expand... Nenda pale Moshi uone wadada wanavyouza chips yai tena kila kitu wao kuanzia manunuzi, kumenya viazi mpka kupika tofauti ilivyo Dar wadada wengi hupenda saaana chips lakini hawafany kazi iyo.