Biashara ya chipsi

Biashara ya chipsi

jembe12

Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
58
Reaction score
7
wakuu hv ni kwa nn asilimia kubwa ya wauza chipsi ni wababa nimepita sehemu nyingi za mijini cjaona wakina dada wakifanya hii biashara
 
Labda wanaona ni kazi ya kiume
 
wakuu hv ni kwa nn asilimia kubwa ya wauza chipsi ni wababa nimepita sehemu nyingi za mijini cjaona wakina dada wakifanya hii biashara

Nenda pale Moshi uone wadada wanavyouza chips yai tena kila kitu wao kuanzia manunuzi, kumenya viazi mpka kupika tofauti ilivyo Dar wadada wengi hupenda saaana chips lakini hawafany kazi iyo.
 
Back
Top Bottom