Biashara ya chupa za plastic na chuma chakavu

Crown za kwanza zile, bahati mbaya picha hapa sina. Nataka angalau 2.5 ila hamna mnunuzi sijui kwenye chuma chakavu ntapata hata 2m?
Kama Ningepata Picha yake na mawasiliano yako mkuu tunaweza fanya Biashara
 
Kama Ningepata Picha yake na mawasiliano yako mkuu tunaweza fanya Biashara
Kama upo Dar nipe no.yako inbox nikurushie kwa WhatsApp. Gari iko poa ina AC na kila kitu kinafanya kazi sema nataka hela ya chap hizi siku mbili
 
Kama upo Dar nipe no.yako inbox nikurushie kwa WhatsApp. Gari iko poa ina AC na kila kitu kinafanya kazi sema nataka hela ya chap hizi siku mbili
Mm siyo mtumiaji wa muda mrefu jamii Forum nashindwa namna ya kukutumia private message naomba unitumie basi nikupe namba yangu
 
Hii ishu iko poa sana , Imewatoa wengi, Risk yake ni kuuziwa vitu vya wizi .
 
Vibali unachukulia wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…