maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Crown za kwanza zile, bahati mbaya picha hapa sina. Nataka angalau 2.5 ila hamna mnunuzi sijui kwenye chuma chakavu ntapata hata 2m?Gari aina gani.weka picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Crown za kwanza zile, bahati mbaya picha hapa sina. Nataka angalau 2.5 ila hamna mnunuzi sijui kwenye chuma chakavu ntapata hata 2m?Gari aina gani.weka picha
Kama unataka kuiza nipe bei yako na picha yake kama itawezekan tunaweza fanya Biashara
Kama Ningepata Picha yake na mawasiliano yako mkuu tunaweza fanya BiasharaCrown za kwanza zile, bahati mbaya picha hapa sina. Nataka angalau 2.5 ila hamna mnunuzi sijui kwenye chuma chakavu ntapata hata 2m?
Kama upo Dar nipe no.yako inbox nikurushie kwa WhatsApp. Gari iko poa ina AC na kila kitu kinafanya kazi sema nataka hela ya chap hizi siku mbiliKama Ningepata Picha yake na mawasiliano yako mkuu tunaweza fanya Biashara
Mm siyo mtumiaji wa muda mrefu jamii Forum nashindwa namna ya kukutumia private message naomba unitumie basi nikupe namba yanguKama upo Dar nipe no.yako inbox nikurushie kwa WhatsApp. Gari iko poa ina AC na kila kitu kinafanya kazi sema nataka hela ya chap hizi siku mbili
nitumie picha PM bossKama upo Dar nipe no.yako inbox nikurushie kwa WhatsApp. Gari iko poa ina AC na kila kitu kinafanya kazi sema nataka hela ya chap hizi siku mbili
Vibali unachukulia wapPata million na 5
Dili na scraps (skrepa) huko utapata
Chuma chakavu
Aluminium (soft)
Chuma dongo
Aluminium (cast)
Chuma laini
Battery mbovu
Pata eneo la kujenga banda/kukodi
Tenga eneo kulingana na aina ya chuma
Pata mizani mlalo na ya kutundika
Bango la bei
Vitendea kazi (spana mbalimbali, nyundo, shoka, visu nk)
Record books/office
Pata vibali husika vya kuanzia (kununua, kuhifandi na kuuza) na baadae utaomba vya kukusanya na kusafirisha pia mtaji ukikua
Pata elimu kidogo kwa anayefanya hiyo biashara kuepuka kupiga! Unaweza kujitolea kwake kwa mwezi mmoja
Wateja wapo ambao hupita na kuchukua wenyewe japo hawa ni madalali lakini ndio wanaoaminika viwandani.. Mtaji ukikua utapeleka mwenyewe
Biashara ipo na inakimbiza mbaya.. Mfano kilo moja ya chuma chakavu inaenda mpaka 1100 yaani 1,100,000 kwa tani! Alminium mpaka 5200 kwa kilo yaani 5, 200,000/= kwa tani
Usibweteke kusubiri kuletewa kama Unataka ukue haraka, tembelea kiwanda na yard na magereji mbalimbali kuna mizigo ya kutosha sana!
Changamoto kubwa jela nje nje
Mizigo ya wizi.. Epuka mizigo iliyonyooka sana halafu bei kitonga.. Jihakikishe mzigo huo ni halali la sivyo achana nao Mfano
Vipande virefu vya nondo
Vyuma vya reli
Mabati na milingoti ya alama za barabarani
Magari na pikipiki zilizikatwa nknk
Hakikisha una vijana na mlinzi waaminifu la sivyo utapigwa mpaka uchakae
Ninayo mengi ya kukwambia lakini ya msingi ni hayo asante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ameaanza ku undergo........... .Hizo kazi zinaletaga ukichaa,ona sasa umepost Mara tatutatu🤒