Biashara ya chupa za plastiki

Barikiwa sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wazo la kwanza nimekubali, lakini la pili hapana. Yaani Unawekeza mtaji mkubwa sana hapo halafu faida million mbili tu halafu unaipata kwa mizi mitatu.
Hujasoma vizuri , rudia
 
Duuh
 
Swali mimi nipo Mwanza nataka nianze hii biashara ila sio kwa kusaga,nataka ninunue kwa wauzaji wadogo nikauze kwa mchina bila kusaga machupa,je Kwa hapa mwanza mchina anapatikana wapi??nipo mwanza mjini mitaa ya kirumba
mbona ameelza yote boss kua wanunuzi ambao ni wachina wapo Dar ni wewe kua na mzigo wako tayari na kubeba na kupeleka Dar kwa mchina
 
"Wengi wameniomba namba ya Steve, jamaa aliyetoa mchongo wa chupa za plastiki.

Nimeongea nae na amenipa ruhusa ya kutoa namba yake, 0766499336 Mtafuteni Whatsap". DJ Tee

Haya kwa wale wenye maswali yoyote wanaweza kumwuliza mhusika namba yake hiyo hapo.
 
Safi sana mkuu
 
Kwani ukisema ni kwa Dj Tee unapungukiwa nini mzee.

Next time sema ni copy and paste ili usisumbuliwe sana na maswali
Na vipi ikiwa mleta uzi ndio Dj Tee wa huko Twitter ila hapa anatumia ID hii? Vinginevyo mkuu wewe ndio Dj Tee unaona umenyimwa utambuzi
 
Hivi zile net kuuubwa ambazo wanawekeaga plastic au makopo wanazitoaga wapi au zinauzwa??
 
Daaah! ngoja nianzie sokoni kwanza, kuchungulia wanunuzi aiseee maana hizo hapo juu zinatia mzuka sanaaaa
 
Duu jana kuna mahala niliona chupa mingi balaa na nikasema fursa hiyo. Kila wiki hilo eneo bonite, afya, mo, azam wanashindana kuwepo sema mtiti ndo kamtaji na umbali wa huyo mchina
 
Nina mazungumzo na wewe kaka dm tafadhali, kama bado unajishughulisha na hii biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…