Biashara ya chupa za plastiki

Duu jana kuna mahala niliona chupa mingi balaa na nikasema fursa hiyo. Kila wiki hilo eneo bonite, afya, mo, azam wanashindana kuwepo sema mtiti ndo kamtaji na umbali wa huyo mchina
Si amesema kama wewe unapima upo mkoani unamuuzia anayesaga .. halafu yule anayesaga anapaki na kumuuzia mchina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…