Mike400
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 210
- 83
Si amesema kama wewe unapima upo mkoani unamuuzia anayesaga .. halafu yule anayesaga anapaki na kumuuzia mchinaDuu jana kuna mahala niliona chupa mingi balaa na nikasema fursa hiyo. Kila wiki hilo eneo bonite, afya, mo, azam wanashindana kuwepo sema mtiti ndo kamtaji na umbali wa huyo mchina