Biashara ya chupi na sidiria mpya na mtumba

Biashara ya chupi na sidiria mpya na mtumba

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,963
Reaction score
3,685
SIDIRIA
Bei ya china 15yuan kwa kilo 1
Oda kima cha chini 100kg (belo 2)
15x100=1500yuan
1500x379=568500Tsh (379 ni bei yangu ya kuuza yuan kwa siku ya leo 23/09/2023)
100kg nikama sidiria 1000-1200
568500÷1200=474 kila sidiria
Ukiweka na usafiri nikama 700 kila sidiria
******************************************
CHUPI
Bei ya china 15yuan kwa kilo 1
Oda kima cha chini 100kg (belo 2)
15x100=1500yuan
1500x379=568500Tsh (379 ni bei yangu ya kuuza yuan kwa siku ya leo 23/09/2023)
100kg nikama CHUPI 1300-1500
568500÷1500=379 kila chupi
Ukiweka na usafiri nikama 500 kila chupi
******************************************
Bei ya Bongo Jumla
SIDIRIA
Bei ya jumla 2000 kuanzia 10
Bei ya offer 1500 kuanzia 50
CHUPI
Bei ya jumla 1250 kuanzia 12
Bei ya offer 1000 kuanzia 50
**********************************
Zote Ni Mtumba Grade A
Usafiri meli siku 30-45
Gharama zangu ni kukuuzia Yuan tu,kukununulia itabaki ofa
WhatsApp Image 2023-09-23 at 14.24.49 (1).jpeg
WhatsApp Image 2023-09-23 at 14.24.49.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-23 at 14.24.48 (1).jpeg
WhatsApp Image 2023-09-23 at 14.24.48.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-23 at 14.24.47 (1).jpeg
WhatsApp Image 2023-09-23 at 14.24.47.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-23 at 14.24.46 (2).jpeg
WhatsApp Image 2023-09-23 at 14.24.46 (1).jpeg
WhatsApp Image 2023-09-23 at 14.24.46.jpeg




Wale wa Mpya Njooni huku
 
Hizi makitu si zilipigwa marufuku na serekali wamesharuhusu Tena?
 
Hebu huu upuuzi upigwe marufuku hapa nchini! Kweli tumefikia hatua ya kuvaa sidiria na chupi zilizotupwa na wachina? Dah!
GRADE A NI MPYA MPYA ZINGINE HUJA NA LEBO KABISA
 
Kuna wakati serikali ilisema itasitisha uagizaji nguo za ndani za mitumba sijui iliishia wapi
 
Mkuu mbna mpya zipo China bei nafuu kwann usiuze hizo au shida yak nn?
FANYA UZUNGUKE MASOKONI NDIO UTAJUA BIASHARA IPO WAPI KATI YA MPYA NA MTUMBA
 
Back
Top Bottom