Biashara ya compendium udom ni balaa, walimu wanatuibia wanafunzi

Biashara ya compendium udom ni balaa, walimu wanatuibia wanafunzi

Rudolph Hess

Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
29
Reaction score
9
nimecancell

Kwanza naomba mtu yeyeto asiendelee kuchangia hii post, Mwanzishaji wa hii post nimeshajitambua.

Pili nawaomba msamaha walimu wangu wote niliowataja kwenye hii post kwa usumbufu niliowasababishia na ndio maana nimetumia jukwaa hili hili kuwaomba msamaha.

Tatu nieleze kuwa kilichoctokea ni byproduct za frustration nilizo nazo kutokana na kukosa mkopo halafu maisha yangu hapa chuo kuwa magumu mpaka kila mtu namwona mbaya, sina uwezo wa kutoa hata photocopy hivyo hata watu wa stationery nawaona wabaya, hii ndiyo iliyonipelekea mimi kuamka saa 6 ya usiku kuanzisha hii post nikifikiri natatua tatizo lolote, matokeo yake nimeona ndio nilikuwa naongeza tatizo kwa kutengeneza mazingira ambayo yatawakatisha tamaa walimu wetu kututayarishia material.

Nne nimelazimika kuja tena kuomba msamaha kutokana na jamii yote ya wanafunzi hapa chuoni kunilaani mimi kwa kitendo nilichokifanya, pamoja na kuwa natumia ID fake lakini coment za kulaani kitendo changu zinazotoka kwa jamii ya wanafunzi wenzangu zimeniumiza moyo sana na kwa kuwa na mimi ni binadamu mwenye nyama ingawa ni anoynomous imenipain kwa uzito uleule kama verified. Naamini hili kwa upande wangu halitajirudia tena na nimejifunza kutokana na makosa.

Tano naomba jamii ya wanafunzi wenzangu mnisamehe na mnirudishe kundini tena maana tokea hili litokee nahisi kama mmenitenga, nikipita sehemu naona kama mnanijua, kwenye lecture nalazimika kukaa nyuma sana tofauti na zamani.
 
Wanafunzi wa udom ni washamba sana katika mambo ya compendium
 
kama hamshikiwi panga mnunue basi sawa...if you know you are smart enough not to buy the so called "compendium" (if i got it right by the way) usinunue tu...maana najua biashara haigombi. cut your coat...according to your cloth.
 
hebu nunua huko. Hiyo hela ya loan board uliambiwa ni ya kununua simu? Kama rais anakula ofcn kwake kwa niji mwalj asile kwake?
 
hebu nunua huko. Hiyo hela ya loan board uliambiwa ni ya kununua simu? Kama rais anakula ofcn kwake kwa niji mwalj asile kwake?

Embu mweleze! It's annoying how he is demonizing it as if no effort has been employed to make the compendium. Learn to appreciate and support other people's investments and stop the "free left overs" syndrome. Wewe Ndio a cause muitwe Chuo cha kata. Uliza wenzako wanatumia kiasi gani in other Universities with enthusiasm and a sense of pride reading from their Professors. Punguza njaa! Kama huna kaa kimya.
 
Usinunue jitungie notes zako mtaonana kwny mtihani utamjua huyo frank vizuri hata sisi tulisoma hivyo hivyo jifunge mkanda hayo ni maisha yako amua sasa ununue au uache
 
hebu nunua huko. Hiyo hela ya loan board uliambiwa ni ya kununua simu? Kama rais anakula ofcn kwake kwa niji mwalj asile kwake?

King'ast wewe ni mama au! huna mtoto au mtoto wako hatarajii kutendewa hivyo! Ungelikuwa una mtoto kuwa baadaye atatendewa hivyo ungelilaani kitendo cha walimu hao!
 
Haaaaa ww acha chuo bana, wenzako matajiriakina bakhresa hawajaasoma..... Nasema acha chuo kijanaaaaaaa
 
Unaposema wanawalazimisha ndio ningependa kuelewa vizuri!!!!!
Unaposema ipo shallow sana pia hebu fafanua vizuri!!!!


Kama kweli wanawatisha hili sio sawa
 
njie mnaongea tu coz hamjui yaliyomo humu hapa hapajakaa sawa bhana kwann tulazimishwe kununua hizo handout zao kwa bei kubwa na vitisho vingi kwamba tusipo nunua tutafeli? hivi mnahisi kuwa wote tuna mikopo? achen hizo bhana mna support ujinga kwan mshahara hawana?
 
njie mnaongea tu coz hamjui yaliyomo humu hapa hapajakaa sawa bhana kwann tulazimishwe kununua hizo handout zao kwa bei kubwa na vitisho vingi kwamba tusipo nunua tutafeli? hivi mnahisi kuwa wote tuna mikopo? achen hizo bhana mna support ujinga kwan mshahara hawana?

Kulazimishwaje???!!!
Hebu weka vizuri hii complain yako ueleweke nahitaji kuelewa zaid hebu quote maneno yao wanayotumia please
 
hebu nunua huko. Hiyo hela ya loan board uliambiwa ni ya kununua simu? Kama rais anakula ofcn kwake kwa niji mwalj asile kwake?

word mkuu. mie nimesoma udom hadi nimemaliza tulikuwa tunanunua hivyohivyo hizo compendium kwa kina Mr Camilius (R.I.P) na tulikuwa hatulalamiki ndio matumizi ya boom hayo.
 
Upumbavu mtupu..we ulizani pesa ya stationery unayopewa la heslb ni ya kazi gani?
 
hivi 200,000tshs mnazopewa na heslb kwa mwaka huwa mnapeleka wap?naomba hao wahadhiri hao waendelee na huo mpango ili waweze kunusuru kizazi cha mulugo ambacho kinasumbua taifa letu
 
Sasa unajua unaibiwa halafu huchukui hatua unalakamika. Notes elfu 5,we unalipa elfu kumi na bado unakubali na kuanza kulialia. Chukueni hatua nyie,hvyo vichwa hamjapewa mfugie nywele na kunyoa viduku tu.
 
hivi 200,000tshs mnazopewa na heslb kwa mwaka huwa mnapeleka wap?naomba hao wahadhiri hao waendelee na huo mpango

we unaona sawa kitu cha elfu 5 kiuzwe elfu kumi? kichwa umepewa ufikirie na sio kusukia twende kilioni!!
 
mie nimesoma udom hadi nimemaliza tulikuwa tunanunua hivyohivyo hizo compendium kwa kina mr camilius (r.i.p)
so kama ulikua unaibiwa na unataka wenzio nao waibiwe?? Ndio ni matumizi ya bum lakini sio kwa bei hiyo.wizi tu
 
Back
Top Bottom