Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,168
- 4,773
Naskia sokon kule stereo dsm limefika 14000 kg
Boss kwema??Sasa mkuu tupe bei ya gunia kwa dagaa wasio na mchanga gunia moja ni shingapi tujilipue magunia kadhaa.
Bei ya sasa, ikiwezekana tupe na msimu
Karibu mkuu,jiunge group la whattsapp andika neno DAGAA 0657886964.Soon narudi kwenye game.
Dagaa expensive now kuliko nyama watu washa elimika ,dagaa ni bora kwa afyaNaskia sokon kule stereo dsm limefika 14000 kg
AhahahahaUngekuwa uzi wa jinsi kuchelewa kufika kileleni ungepata wachangiaji wengi sana.
Uhitaji wa dagaa ni mkubwaNaskia sokon kule stereo dsm limefika 14000 kg
Kwa hiyo dagaa wa goziba ndo wasafi, sio.niwaambie siri mkuu maana hyo biashara nimefanya sana. nimeenda Gozba, siza, Ghana, kakukuru center dagaa wa Gozba wanandikwa kwenye vyandaruwa siza, Ghana kwenye mchanga
ndio wote ni wazuri sema tofauti ni kwenye kuanika mmoja mchangani mwingine kwenywe miamba chandaruaKwa hiyo dagaa wa goziba ndo wasafi, sio.
Hapo nimekuelewa.ndio wote ni wazuri sema tofauti ni kwenye kuanika mmoja mchangani mwingine kwenywe miamba chandarua
We uko wapi?mimi bado ni mjasiriamali mchanga huwa nachukulia Kayenze ndogo wale wa leo leo,natamani kufika level ya magunia na nipate soko mostly Dar es SalaamKaribu mkuu,jiunge group la whattsapp andika neno DAGAA 0657886964.