Mtumishitu
Member
- May 2, 2022
- 30
- 15
Bei ya dagaa ni vigumu kuweka bei mtandaoni,sababu hubadilika kama (exchange rate ya pesa) maana ni zao la ziwani inafuatana na siku hiyo ziwani uvuvi umekuwa mkubwa au kidogo.pia kuna kipindi cha mbala mwezi na giza,kitu kingine kila mtu ana bei yake kutokana na kisiwa aliko chukulia dagaa .Gunia moja iko na bei gani?
Lakini bei ya dagaa wale wazuri wana range (180k-270k).
HIvyo ni vizuri kuwasiliana na mhusika au muuzaji akupe bei kutokana na huo muda unaohitaji wewe.