Biashara ya Dagaa mikoani ni fursa pia

Gunia moja iko na bei gani?
Bei ya dagaa ni vigumu kuweka bei mtandaoni,sababu hubadilika kama (exchange rate ya pesa) maana ni zao la ziwani inafuatana na siku hiyo ziwani uvuvi umekuwa mkubwa au kidogo.pia kuna kipindi cha mbala mwezi na giza,kitu kingine kila mtu ana bei yake kutokana na kisiwa aliko chukulia dagaa .

Lakini bei ya dagaa wale wazuri wana range (180k-270k).
HIvyo ni vizuri kuwasiliana na mhusika au muuzaji akupe bei kutokana na huo muda unaohitaji wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…