Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake



Unaonekana mkuu umeshiba mahela!dah...!
 
Mchawi mkubwa wa biashara ni uaminifu Chief!

Kama hajawahi kukutia hasara na wewe umekili kwamba hauwezi kufanya mwenyewe kwasababu umebanwa na kazi, acha tu na mwenzio apate ilimradi tu na wewe unapata faida unayoridhika nayo.

Ila unaweza kuamua kutenga mwezi mmoja (unapokuwa likizo) halafu unampanga huyo dalali wako kirafiki kabisa kwamba na wewe unataka kusafiri nae kupata uzoefu

Naamini kwa mtu uliyefanya nae biashara kwa muda mrefu na mmezoeana ukimwambia unataka kujifunza kwake hatokataa ila tu usitake sana kuingilia maslahi yake anayoyapata kupitia mtaji wako! Ridhika na makubaliano yenu hata kama unapunjika maana kazi kubwa anafanya yeye! Baada ya kujua changamoto na namna anavyofanya kazi na kulinganisha anachokipata na unachokipata ndio unaweza ku review makubaliano yenu upya
 

We jamaa Mungu akubariki sana. Umesaidia wengi kwa wazo hilo
 
Dah uyo jamaa anakupga kwel yaan iyo faida anayo kupa ni mara2 ya faida yake anayopata na hizo dagaa zinasafirishwa mpaka Kenya ndo kunasoko kubwa mkuu
Ushauri ungejarbu kumfatilia kama uko bze bac endelea kuwa bze ila atakapo kuambia anataka Fanya mambo yake ujue kashapata maji wa kutosha kutoka kwako
 
Kwann usiwatafute mkuu hao watu
k
Al a Kama unasemea wale watu was custom market research and feasibility study,nishawatumia email,nasubiri tu kam a watanijibu nitakuwa na information zote kuhusu soko la dagaa wachafu Nairobi
 
Duh! Kwani Kenya utaendaje bila connection? Alafu ukizingatia yeye ndo anajua masoko yalipo. Nikipata mtu wa kuniunganisha Kenya naweza Fanya mwenyewe
 
Habari za mchana wadau,

Ningependa kujua naitaji kupata vibali vingapi na gharama zake zikoje na wapi naweza kuvi kupata. Ili niweze kufanya usafirishaji wa samaki na dagaa ndani ya nchi.
 
Uaminifu ni jambo kubwa sana kwenye moyo wa mwanadamu na bahati mbaya limekuwa adimu sana pia miongoni mwetu wanadamu, ushauri wangu mkuu huyo Jamaa ni mtu mzuri komaa kufanya nae kazi. Mtu unaeweza kumpa mzigo hata wa laki akaenda auze alete mtaji na faida bila ngonjera, mshukuru Mungu ndugu. Kidogo sio sawa na Hakuna. Kama ungekuwa mwenyewe free ungeweza kujifunza ufanye mwenyewe ila kwa majukumu yako mkuu shukuru hata kwa hicho anachokuletea
 
uko wap mkuu?Niko Mwanza na Nina idea hiyo pia though Niko kwenye research bado,Kama ulifanikiwa kupata info za kutosha, please let's share them
 
Nione nikupe na vitendea kazi kabisa kama upo serious kwenye hii biashara ya samaki
uko wap mkuu?Niko Mwanza na Nina idea hiyo pia though Niko kwenye research bado,Kama ulifanikiwa kupata info za kutosha, please let's share them
 
Nenda ofisi ya uvuvi katika halmashauri watakupa taarifa zote muhimu unazohitaji ni rahisi sana utahitajika picha na kulipia garama kidogo ya leseni ya mwaka.
Habari za mchana wadau ....ningependa kujua naitaji kupata vibali vingapi na gharama zake zikoje na wapi naweza kuvi kupata. Ili niweze kufanya usafirishaji wa samaki na dagaa ndani ya nchi
 
Wadau,

Naombeni ushauri kidogo, kuna kihela kdg kama 1m naumiza sana kichwa nikazungushe vp, nimepata wazo pengine biashara ya dagaa wa kigoma nianze nayo. Naombeni mwenye ujuzi kdg anipe mwanga ni namna gani ntaanza,ntauzia wapi, faida ikoje. Je, ni biashara nzuri, uhifadhi wake na kadhalika.

Bahati nzuri tayari kuna my anaweza kunitumia toka Kigoma.

Naomba mnisaidie jamani maana haka kahela ndio nakategemea kailishe familia na sina kipato kingine.

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…