Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Ningefahamu kwanza bei yake ili nione kama nitaweza, pia usafiri kutoka mwanza hadi arusha ningependa kufahamu inakuaje. Ni Jambo la kujipanga nikishafahamu gharama
Habari ndugu!!
Bado hnaifanya biashara ya dagaa?
 
Nauza dagaa pia, kutoka Bukoba (Igabiro), napeleka mzigo kasulu-kigoma

Natafuta frem Dar nahitaji kufungua stoo ambayo ntakuwa natoa mzigo Bukoba mpaka Dsm nauza jumla na rejareja pia

Uhakika wa magunia ni 25 sawa na tani 1.5

Kama una koneksheni yoyote
PM au Nicheki 0757487684
 
Back
Top Bottom