Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Mungu akubariki mleta Mada hii.
Tatizo vijana wengi ni kuituma akili ndio issue.Yaani mtu hakubali changamoto anataka mtelezo
.
 
Am so interested kaka yangu please nikiwa tayari tutawasiliana aisehh!! Nimeshachukua tayari namba zako mkuu!! Ubarikiwe kwa kuleta uzi wenye akili aisehh!

Huwa napenda sana kuona akina dada/mama wachakarikaji kama wewe anna mbuja . Nakutakia kila lililo jema katika biashara hii utakapoianza.

Nami nitachukua uzoefu kwako dada. Teh

Dedication to You: ''Mademu Watafutaji'' by A.Y

Kwa mahesabu ya haraka hapo mtu atalazimika kuwa kama 58M.Huu ni mtaji mkubwa sana kwa mtanzania wa kawaida na anaeanza,hakuna maujanja ya kawaida yanayoweza kufanyika kaka ili mtu akaanza na mtaji kidogo?
 
Inawezekana Mkaruka awe Kuna wafanyabiashara wawili Normal na Large
1.Normal wana
Waweza kuanza na 1Ml up to 10 Ml
2. Large waweza kuanza na 10 Ml up to 500Ml
Ni wewe Mwenyewe Tu Mkuu.
 
Kaka mimi nyumbani ni Musoma pia ila kwa sasa niko niko DSM Kimasomo.Kwakuwa umeweka namba zako tutawasilana mambo mengi tu kaka Offline.Unaweza kuwa ndugu kabisa.
 
Inawezekana Mkaruka awe Kuna wafanyabiashara wawili Normal na Large
1.Normal wana
Waweza kuanza na 1Ml up to 10 Ml
2. Large waweza kuanza na 10 Ml up to 500Ml
Ni wewe Mwenyewe Tu Mkuu.
Kwenye hiyo Normal kaka utakuwa unatumia utaratibu upi,maana kwa maelezo yako Nauli tu ni 1,600,000/=?
 
Normal Hasa Ni yule anatoa porini na Kuuzia wafanyabiashara wakubwa ambao Wako Kwenye group ya large.
Hyo 1.6Ml Mara nyingi Ni Nauli ya Gari Zima semi - Trailer ndo huwa linabeba Gunia 270 Mpaka 301 Hapa inategemea gunia zimepangwa vipi na makuli , so kwa hyo Bei Mwenye mzigo Yan Mfanyabiashara hukubaliana na Mwenye Gari bei mpaka kufikia hyo bei ya 1.6 Million.
 
Nimekuelewa sana kaka.
 
Back
Top Bottom