Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Ahsante Sana Ndugu yangu.Mungu akubariki mleta Mada hii.
Tatizo vijana wengi ni kuituma akili ndio issue.Yaani mtu hakubali changamoto anataka mtelezo.
Am so interested kaka yangu please nikiwa tayari tutawasiliana aisehh!! Nimeshachukua tayari namba zako mkuu!! Ubarikiwe kwa kuleta uzi wenye akili aisehh!
Anzisha Thread yako unaniharibia KabisaHuwa napenda sana kuona akina dada/mama wachakarikaji kama wewe anna mbuja . Nakutakia kila lililo jema katika biashara hii utakapoianza.
Nami nitachukua uzoefu kwako dada. Teh
Dedication to You: ''Mademu Watafutaji'' by A.Y
Anzisha Thread yako unaniharibia Kabisa
Usijali Ndugu yangu.Wala sikuwa na dhamira ya kuharibu Uzi wako. Ni uzi mzuri sana wenye tija.
My sincere apologies Mkuu
why no commentno comment
Inawezekana Mkaruka awe Kuna wafanyabiashara wawili Normal na LargeKwa mahesabu ya haraka hapo mtu atalazimika kuwa kama 58M.Huu ni mtaji mkubwa sana kwa mtanzania wa kawaida na anaeanza,hakuna maujanja ya kawaida yanayoweza kufanyika kaka ili mtu akaanza na mtaji kidogo?
Kaka mimi nyumbani ni Musoma pia ila kwa sasa niko niko DSM Kimasomo.Kwakuwa umeweka namba zako tutawasilana mambo mengi tu kaka Offline.Unaweza kuwa ndugu kabisa.Inawezekana Mkaruka awe Kuna wafanyabiashara wawili Normal na Large
1.Normal wana
Waweza kuanza na 1Ml up to 10 Ml
2. Large waweza kuanza na 10 Ml up to 500Ml
Ni wewe Mwenyewe Tu Mkuu.
Okay Niko hapa Dar Kwa Sasa .Kaka mimi nyumbani ni Musoma pia ila kwa sasa niko niko DSM Kimasomo.Kwakuwa umeweka namba zako tutawasilana mambo mengi tu kaka Offline.Unaweza kuwa ndugu kabisa.
Kumbe maeneo gani maana ninaweza kuja kukutembelea siku moja.Okay Niko hapa Dar Kwa Sasa .
Gongo la MbotoKumbe maeneo gani maana ninaweza kuja kukutembelea siku moja.
Poa kaka.Gongo la Mboto
Mkuu naweza kukutafuta tuongee zaidi?? Nimeku PM by the wayOkay Niko hapa Dar Kwa Sasa .
Kwenye hiyo Normal kaka utakuwa unatumia utaratibu upi,maana kwa maelezo yako Nauli tu ni 1,600,000/=?Inawezekana Mkaruka awe Kuna wafanyabiashara wawili Normal na Large
1.Normal wana
Waweza kuanza na 1Ml up to 10 Ml
2. Large waweza kuanza na 10 Ml up to 500Ml
Ni wewe Mwenyewe Tu Mkuu.
Normal Hasa Ni yule anatoa porini na Kuuzia wafanyabiashara wakubwa ambao Wako Kwenye group ya large.Kwenye hiyo Normal kaka utakuwa unatumia utaratibu upi,maana kwa maelezo yako Nauli tu ni 1,600,000/=?
Niko free mkuu Ni wewe Tu.Mkuu naweza kukutafuta tuongee zaidi?? Nimeku PM by the way
Nimekuelewa sana kaka.Normal Hasa Ni yule anatoa porini na Kuuzia wafanyabiashara wakubwa ambao Wako Kwenye group ya large.
Hyo 1.6Ml Mara nyingi Ni Nauli ya Gari Zima semi - Trailer ndo huwa linabeba Gunia 270 Mpaka 301 Hapa inategemea gunia zimepangwa vipi na makuli , so kwa hyo Bei Mwenye mzigo Yan Mfanyabiashara hukubaliana na Mwenye Gari bei mpaka kufikia hyo bei ya 1.6 Million.