Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu,kuna sababu yoyote labda inakufanya useme hivyoUsithubutu
Tupe sababu dada?je dagaa wapi bora vp dagaa uono na changamoto zipoDah mie dagaa wa kigoma hata unipe bure sichukui aisee
Tupe sababu dada?je dagaa wapi bora vp dagaa uono na changamoto zipo
Sent using Jamii Forums mobile app
kana Tata Mura unataka details, Kwan wee ndo Umeleta Huu Uzi Tata au Tu UNA KIHEREHETE Angalia
Usiogope fanya reseach na apo dar... Ujue ni watu gani unawatarget na biashara yako utaiweka wapi location!!! Then business round hii inahitaji ubunifu mkuu, tumia fursa za kwenye mtandao kujitangaza" then anza biashara yako kikubwa uwe na office mkuu na ili utoboe make sure unakuwa msafi kuanzia wewe mwenyewe... Na umu Jamii Forums tayari kuna watu wapo dar watakuungisha.... Usiogope na biashara haijaribiwi bro ukiamua kufanya biashara usikubali kufeli wekeza pia na akili yako kwenye iyo biashara kwaku onyesha ubunifu wako na kujitofautisha na wengine maana wapo wanaouza kabla yako!!! Then fanya biashara.... Sina hakika kama wote humu wanafanya biashara so hata kukiwa na majibu yakukukatisha tamaa usijali, jiamini na amini zaidi wazo lako cuz wewe ndo mtendaji, hongera sana chapa kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Mkuu,
Kwakuwa wazo lako ni biashara ya dagaa, nadhani hata biashara ya samaki wengine itakufaa!
Sababu samaki na dagaa naona ni kama kitu kile kile.
Kwakuwa wewe uko hapo dar, na naona umeandika kuwa wewe ni mwenyeji (kama sijakosea).
Basi tafuta soko la samaki (sehemu utakapo uza samaki)
Mimi niko nje kidogo ya dar (kilomita 160 hivi) nafanya hili na lile.
Hapa nilipo kuna samaki wengi sana, ninaposema wengi elewa ni wengi.
Hali jinsi ilivyo, unakuja mpaka eneo husika, hapa kuna samaki wanauzwa kwa kipimo cha ndoo kubwa.
Ndoo ni wastani wa 20k - 25k hapo ni mwisho!
Kwa bei hiyo, ukinunua samaki wa 200k, ni mzigo wa kuzidi sana, mwingi. unaweza wakaanga au ukawabanika.
Hao ni samaki wa magamba.
Ukija kwenye kambale na jamii zake pia hao ni wengi mara dufu zaidi!
Samaki wapo, wananuzi hawatoshi.
Swala la usafiri huku ni boda boda, ila mvua ikinyesha njia ni mziki kidogo.
Mtandao pia huku inakupasa upande japo kisiki ndiyo uwe hewani (niko juu ya mti hapa ninapotype).
Keybord imejaa!
Pamoja brotherAhsante sana mkuu Ubarikiwe [emoji1545]. Ushauri wako umenipa nguvu ya ajabu. Thanks again
Sent from iPhone 6s Plus
Habari Mkuu,
Kwakuwa wazo lako ni biashara ya dagaa, nadhani hata biashara ya samaki wengine itakufaa!
Sababu samaki na dagaa naona ni kama kitu kile kile.
Kwakuwa wewe uko hapo dar, na naona umeandika kuwa wewe ni mwenyeji (kama sijakosea).
Basi tafuta soko la samaki (sehemu utakapo uza samaki)
Mimi niko nje kidogo ya dar (kilomita 160 hivi) nafanya hili na lile.
Hapa nilipo kuna samaki wengi sana, ninaposema wengi elewa ni wengi.
Hali jinsi ilivyo, unakuja mpaka eneo husika, hapa kuna samaki wanauzwa kwa kipimo cha ndoo kubwa.
Ndoo ni wastani wa 20k - 25k hapo ni mwisho!
Kwa bei hiyo, ukinunua samaki wa 200k, ni mzigo wa kuzidi sana, mwingi. unaweza wakaanga au ukawabanika.
Hao ni samaki wa magamba.
Ukija kwenye kambale na jamii zake pia hao ni wengi mara dufu zaidi!
Samaki wapo, wananuzi hawatoshi.
Swala la usafiri huku ni boda boda, ila mvua ikinyesha njia ni mziki kidogo.
Mtandao pia huku inakupasa upande japo kisiki ndiyo uwe hewani (niko juu ya mti hapa ninapotype).
Keybord imejaa!
Sawa mkuu nitafanya hivyoFaida ndogo sana, ila loss ni kubwa kuliko .
Njoo dar tafuta masoko Kwanza ili uone kama utapata faida .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi huko boss usitunyime maarifaHabari Mkuu,
Kwakuwa wazo lako ni biashara ya dagaa, nadhani hata biashara ya samaki wengine itakufaa!
Sababu samaki na dagaa naona ni kama kitu kile kile.
Kwakuwa wewe uko hapo dar, na naona umeandika kuwa wewe ni mwenyeji (kama sijakosea).
Basi tafuta soko la samaki (sehemu utakapo uza samaki)
Mimi niko nje kidogo ya dar (kilomita 160 hivi) nafanya hili na lile.
Hapa nilipo kuna samaki wengi sana, ninaposema wengi elewa ni wengi.
Hali jinsi ilivyo, unakuja mpaka eneo husika, hapa kuna samaki wanauzwa kwa kipimo cha ndoo kubwa.
Ndoo ni wastani wa 20k - 25k hapo ni mwisho!
Kwa bei hiyo, ukinunua samaki wa 200k, ni mzigo wa kuzidi sana, mwingi. unaweza wakaanga au ukawabanika.
Hao ni samaki wa magamba.
Ukija kwenye kambale na jamii zake pia hao ni wengi mara dufu zaidi!
Samaki wapo, wananuzi hawatoshi.
Swala la usafiri huku ni boda boda, ila mvua ikinyesha njia ni mziki kidogo.
Mtandao pia huku inakupasa upande japo kisiki ndiyo uwe hewani (niko juu ya mti hapa ninapotype).
Keybord imejaa!
Hiyo bei kwa mwanza kubwa sana hapo unapigwa na hutapata faida.Mimi ni kijana wa miaka 26, baada ya kumaliza kusoma kitabu cha “rich dad poor dad” nakumbuka nilikuja na uzi wa kuahidi kuyafanyia kazi yale yote niliyojifunza kutoka kwenye kitabu kile.
Basi nilianza kufanya saving za hapa na pale mpaka sasa nina laki 4 na elfu 32, wazo la biashara nililokuwa nalo toka muda niliplan kufanya biashara ya dagaa wa kukaangwa kutoka mwanza kwenda Dar so jana nilipata nafasi ya kwenda pale ferry kuuliza bei na vitu kama hivyo.
Ndoo ya dagaa wa kukaangwa ni elfu 65, boksi la package ni elfu 1500, kutoka pale ferry mpaka nata kwenye mabasi ya zuberi ni elfu 1000 kwa boda boda, kusafirisha mzigo kuanzia debe moja ni elf 10000 hadi 15 elfu. Sasa hapa najiuliza mimi uko Dar nitauzaje hao dagaa ili kufidia hizo gharama na nipate faida?
Dar es salaam bado sijafanya utafiti wa soko lenyewe hapa si naenda kuangukia pua wakuu? Nimetoka kusoma ule uzi wa hasara gani umepata kwenye maisha yako ndo nimeishiwa nguvu kabisa.
Naomba mtu mwenye uzoefu wa hii biashara aniambie kwa mchanganuo huo wa gharama naweza vipi kupata faida nikija kuuza Dar au kama nitaangukia pua mniambie mapema, kitabu Kimenifunza kutake risk lakini mmmh.
Nb. Mimi makazi yangu yapo Dar so ni mwenyeji sema Mwanza nipo kwa muda huu.