INAUZWA Biashara ya dagaa

INAUZWA Biashara ya dagaa

N4ton

New Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
2
Reaction score
0
NYASHO FOOD inawaletea dagaa wa kukaanga pamoja na wale ambao bado hawajakaangwa kwa bei poa. Tunauza jumla na rejareja kuanzia package ya 1000, 2000 na 5000 tshs.
Mobile: 0679 147 967
Email: isack4389@gmail.com
Musoma, Mara

Tz
images%20(4).jpg
 
keep it up home boy....nmesoma shule ya msingi Nyasho na home n karibu na kanisa la wasabato Nyasho
 
INAUZWA; Biashara ya Dagaa...

Tangazo lako limamaanishwa kinachouzwa sio Dagaa bali biashara yenyewe ya hao Dagaa
 
Back
Top Bottom