Biashara ya Danguro..

Biashara ya Danguro..

Kwa kuanzia nitaajiri watanzania wenzangu (Mabinti 10) Wafanyakazi wangu wote nitahakikisha wanapimwa afya zao kila mwezi ili kuweza kujihakikishia usalama wa wateja wangu.

Pia nitaingia mkataba na Kampuni ya Ulinzi na eneo langu la biashara litakuwa na Ulinzi masaa 24. Ninaangalia pia utaratibu wa kufungua massage parlor ambayo itakuwa inatoa huduma za massage hususani erotic massage kwa wale ambao hawatahitaji huduma nyingine.

Sasa basi, ningependa kupata ushauri wenu wadau, ni maeneo gani yanafaa kufungua hii biashara (ninafikiria Ubungo ama Mwenge, naomba mawazo yako). Pia kuweza kufahamu utaratibu wa kufuata ili kuweza kupata kibali cha Serikali ili niweze kuanza biashara
Kwa yeyote aliyewahi kuifanya hii biashara naomba kujua ni changamoto gani nitaweza kukumbana nazo kwenye huu uwekezaji?

Ni matumaini yangu kuwa mtanipa mawazo kuntu.
Asanteni sana.

Mapendo
TANMO.
Sielewi katika biashara zote halali ambazo hazikuhitaji kuuliza sana vibali vyake vimekushinda nini hadi ukafikia hapa.
2.Utakuwa unawapima kila mwezi hao wafanyakazi kuhakikisha usalama wa afya ya wateja..na je huyu mteja anayekuja haitajiki kupimwa afya?au sababu anakuletea pesa hutojali watoto wa wenzio kuangamia mradi tu watoto na familia yako inaenda chooni ..hapa nimeamini kweli binadamu wana ubinafsi hasa wewe..kuna mtu kakuambia kwenye hiyo danguro uweke watoto wako na mkeo na nduguzo hao umewakwepa kujibu maswali yao...Usijione sababu ya kipato ulicho nacho leo kuwa utayofanya kwa wenzio kwako hayatakufikia haiendi hivyo na huwezi jua ya kesho..they say Be good to the people on your wayUp the ladder 'cause you' ll need them on your way down
 
Mkuu naona hilo wazo la kuanzisha hiyo biashara achana nalo (NI MAONI YANGU SI LAZIMA UYAFUATE) Mbona kuna biashara nyingi tu zenye kukupa faida.LAKIN HII NAPATA KIGUGUMIZI KUKUUNGA MKONO
 
Wazo sio baya saana mkuu, hasa pale ulipogusia point ya mabinti kujiajiri kwa faida ya kujipatia kipato, nina amini katika kuhakikisha kwamba utadhibiti mapato kwa faida ya kukuza uwekezaji wako, itapendeza pia wewe mwenyewe usiwe unacheza mbali na eneo la tukio. Swali langu kwako ni kwamba, pamoja na mipango mahsusi ya mradi wako tarajiwa, unamawazo gani kuhusu kuajiri ndugu zako wa karibu (kama dada zako wa familia moja, au mabinti zako uliowazaa wewe na mke wako) ili kuhakikisha mapato hayaendi mbali na wewe?
 
Kwa kuwa ni ajira basi nitaajiri wale watakaopenda na wenye hobi na hii kazi (wapo wengi tu). Hata ukitaka nikakuoneshe wale wanaoifanya hii kazi niko tayari muda wowote kukupeleka ukajionee na miongoni mwao Mama yangu hayupo kwa sababu siyo hobi yake. Hata mama yako pia akiomba nimuajiri most likely hatafanikiwa kwa sababu nitakuwa nazingatia kigezo cha umri, unless yuko under 30.
Si kubaliani na wewe ,hakuna mtu yoyote anafanya kazi ambayo ni highly stigmatized in the sociaties kwa kupenda au kama hobby.Wote wanajiforce kufanya kwa ajili ya pesa, ndio maana utaona asilimia kubwa ya wasichana wanaofanya kwenye madanguro wanasifa moja kubwa ambayo ni low socioeconomic class na kwa sababu hakuna true consent hauwezi kuitenganisha na RAPE.

Kwa mfano, Uwapange clients 20 na wasichana 20 wanaofanya kazi kwenye madanguro halafu uwalipe wasichana kufanya mapenzi na hao clients lakini they can say NO and take the money or YES and still have the same amount, i bet all of them will say "hell no" na hao clients wakiwa kinganganizi wanaweza kutemewa mate.Hii inakupa picha hawafanyi hiyo biashara kama hobby kama unavyosema.
 
Obviously watanzania wote ni ndugu, na ndiyo maana nikaweka wazi kuwa dada zangu watanzania nitawapa kipaumbele kwenye kupata ajira kisha baadaye ndiyo nitaajiri watu wa kabila ingine.
Kama una nia ya kuwasaidia hao "dada" zako kuna baishara nyingi unaweza kufungua na kuwaajiri na end of the day they can walk and hold their heads high, i mean without losing their respect and dignity
 
Back
Top Bottom