Sielewi katika biashara zote halali ambazo hazikuhitaji kuuliza sana vibali vyake vimekushinda nini hadi ukafikia hapa.Kwa kuanzia nitaajiri watanzania wenzangu (Mabinti 10) Wafanyakazi wangu wote nitahakikisha wanapimwa afya zao kila mwezi ili kuweza kujihakikishia usalama wa wateja wangu.
Pia nitaingia mkataba na Kampuni ya Ulinzi na eneo langu la biashara litakuwa na Ulinzi masaa 24. Ninaangalia pia utaratibu wa kufungua massage parlor ambayo itakuwa inatoa huduma za massage hususani erotic massage kwa wale ambao hawatahitaji huduma nyingine.
Sasa basi, ningependa kupata ushauri wenu wadau, ni maeneo gani yanafaa kufungua hii biashara (ninafikiria Ubungo ama Mwenge, naomba mawazo yako). Pia kuweza kufahamu utaratibu wa kufuata ili kuweza kupata kibali cha Serikali ili niweze kuanza biashara
Kwa yeyote aliyewahi kuifanya hii biashara naomba kujua ni changamoto gani nitaweza kukumbana nazo kwenye huu uwekezaji?
Ni matumaini yangu kuwa mtanipa mawazo kuntu.
Asanteni sana.
Mapendo
TANMO.
Si kubaliani na wewe ,hakuna mtu yoyote anafanya kazi ambayo ni highly stigmatized in the sociaties kwa kupenda au kama hobby.Wote wanajiforce kufanya kwa ajili ya pesa, ndio maana utaona asilimia kubwa ya wasichana wanaofanya kwenye madanguro wanasifa moja kubwa ambayo ni low socioeconomic class na kwa sababu hakuna true consent hauwezi kuitenganisha na RAPE.Kwa kuwa ni ajira basi nitaajiri wale watakaopenda na wenye hobi na hii kazi (wapo wengi tu). Hata ukitaka nikakuoneshe wale wanaoifanya hii kazi niko tayari muda wowote kukupeleka ukajionee na miongoni mwao Mama yangu hayupo kwa sababu siyo hobi yake. Hata mama yako pia akiomba nimuajiri most likely hatafanikiwa kwa sababu nitakuwa nazingatia kigezo cha umri, unless yuko under 30.
Kama una nia ya kuwasaidia hao "dada" zako kuna baishara nyingi unaweza kufungua na kuwaajiri na end of the day they can walk and hold their heads high, i mean without losing their respect and dignityObviously watanzania wote ni ndugu, na ndiyo maana nikaweka wazi kuwa dada zangu watanzania nitawapa kipaumbele kwenye kupata ajira kisha baadaye ndiyo nitaajiri watu wa kabila ingine.