The Hurricane
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 760
- 1,048
Habari ya Jumapili wakuu...naulizia kama kuna member anaejua upatikanaji wa dhahabu kule msumbiji maana kuna mdau alinambia kuna watanzania wengi kule na pia kodi zao sio kubwa sana
Vp mkuu una uzoefu na huko unipe infoSio kodi zao sio kubwa sana,yaani hamna kodi kabisa,ni shamba LA bibi
Sent by Diaspora
Ashawahi kufanya kwa msumbiji mkuu??Hasara nje nje kuna bwana mdogo yupo Luangwa anaendelea na biashara hii ya kununua dhahabu ila hataki kusikia hii habari ya Mozambique.