Biashara ya dhahabu Msumbiji

Biashara ya dhahabu Msumbiji

The Hurricane

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
760
Reaction score
1,048
Habari ya Jumapili wakuu...naulizia kama kuna member anaejua upatikanaji wa dhahabu kule msumbiji maana kuna mdau alinambia kuna watanzania wengi kule na pia kodi zao sio kubwa sana
 
Sio kodi zao sio kubwa sana,yaani hamna kodi kabisa,ni shamba LA bibi
Habari ya Jumapili wakuu...naulizia kama kuna member anaejua upatikanaji wa dhahabu kule msumbiji maana kuna mdau alinambia kuna watanzania wengi kule na pia kodi zao sio kubwa sana

Sent by Diaspora
 
Hasara nje nje kuna bwana mdogo yupo Luangwa anaendelea na biashara hii ya kununua dhahabu ila hataki kusikia hii habari ya Mozambique.
 
Back
Top Bottom