Biashara ya dhahabu kwa mtaji wa mill2 ni sawa na kujaza maji kwenye tengaa ukitegemea kulijaza.
Sijajua unategemea ku-base upande gani? Lakini vyovyote vile aidha ni upande wa Plant(kuchakata marudio),Gharasha(kusaga mawe ya dhahabu),Mwaroo(kuosha mchanga kuchuja dhahabu husika) au Ilusion( kuchuja/kuchoma dhahabu) hiyo hela ni kidogo na haitosh ata chembe..
Pengine kwa amount iyo kama uko reluctant na persistant kwny biashara iyo nenda machimbon ujaribu kununua mabaki ya mawe(feloo) depending na mgodi unavotoa(mwamba) unaeza patapata kidogokidogo au ungana na wenzako mchimbishe duara lenu..apo hutokosa hela ya kula na vocha. In long term unaeza kuhamia kweny 'ukota'.
Fursa ziko nyingi eneo hilo, na kama ukiingia field uko(machimbon) more opportunities will show up..kila la kher mkuu
#G.T.O
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app