Biashara ya Dhahabu

Biashara ya Dhahabu

Following

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wana jukwaa Samahani sana mimi ni mgeni naomba ni msaada kama kuna yeyote anafahamu kuhusiana na hili jiwe maana hatujui kama ni dini au lah
IMG_20200518_084921.jpg
 
Karibu Chunya tufanye biashara
Vp mapori ya Chunya upatikanaji wa dhahabu ukoje. Hasa kwa kununua kutoka kwa wachimabaji/wachenjuaji wadogo!? Kwa wiki moja unaweza kununua gram ngapi kama pesa ipo!?
 
Back
Top Bottom