Biashara ya Dhahabu

HOVYO HOVYO

Member
Joined
Jul 6, 2017
Posts
34
Reaction score
27
Habari wanabodi Nina mtaji wa million 2 nataka kufanya biashara ya madini hasa dhahabu popote pale inapopatikana pls kwa wenye uzoefu naomba kufahamishwa changamoto na faith zake

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Following too

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
OK tufahamishine na kwa faida ya wanabodi jf

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Nenda benki kuu wanaweza kukumegea kakipisi, kwa thamani ya pesa yako. Ila changa hela na jamaa zako mnunue gram inayoeleweka.
 
Biashara ya dhahabu kwa mtaji wa mill2 ni sawa na kujaza maji kwenye tengaa ukitegemea kulijaza.

Sijajua unategemea ku-base upande gani? Lakini vyovyote vile aidha ni upande wa Plant(kuchakata marudio),Gharasha(kusaga mawe ya dhahabu),Mwaroo(kuosha mchanga kuchuja dhahabu husika) au Ilusion( kuchuja/kuchoma dhahabu) hiyo hela ni kidogo na haitosh ata chembe..

Pengine kwa amount iyo kama uko reluctant na persistant kwny biashara iyo nenda machimbon ujaribu kununua mabaki ya mawe(feloo) depending na mgodi unavotoa(mwamba) unaeza patapata kidogokidogo au ungana na wenzako mchimbishe duara lenu..apo hutokosa hela ya kula na vocha. In long term unaeza kuhamia kweny 'ukota'.

Fursa ziko nyingi eneo hilo, na kama ukiingia field uko(machimbon) more opportunities will show up..kila la kher mkuu

#G.T.O

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Chukulia gram moja ya dhahabu 75000,kwa milioni mbili utanunua gram atleast 27,unaenda kuuza gram moja 90000, faida itakuwa, 400,000. Karibu tufanye biashara. Sijui gharama za kuishi itazitolea wapi
 
Asante sana mkuu

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Chukulia gram moja ya dhahabu 75000,kwa milioni mbili utanunua gram atleast 27,unaenda kuuza gram moja 90000, faida itakuwa, 400,000. Karibu tufanye biashara. Sijui gharama za kuishi itazitolea wapi
OK nilikuwa nasema kuhusu machimboni na sio kwa sonara by the way asante kwa ufafanuzi

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Njoo tuifanye mie najua pakuipata dhahabu bila kusubiria.....na soko lake nalijua

Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
 
Njoo tuifanye mie najua pakuipata dhahabu bila kusubiria.....na soko lake nalijua

Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
Funguka uko wapi na inafanyajwe hiyo biznes Koz pia kuna matapel

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Funguka uko wapi na inafanyajwe hiyo biznes Koz pia kuna matapel

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Nipo mwanza....for more details njoo pm

Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
 
Chukulia gram moja ya dhahabu 75000,kwa milioni mbili utanunua gram atleast 27,unaenda kuuza gram moja 90000, faida itakuwa, 400,000. Karibu tufanye biashara. Sijui gharama za kuishi itazitolea wapi
Mzee ni PM tuzungumze kidogo hiyo fulsa ya dhahabu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…