M mkimagii Member Joined Oct 16, 2013 Posts 34 Reaction score 58 Jun 1, 2019 #1 Habari wakuu, Naomba kujua bei ya jumla ya dhahabu 24k kwa gram. Nataka kuchukuwa kama 300 grams. Asante
Habari wakuu, Naomba kujua bei ya jumla ya dhahabu 24k kwa gram. Nataka kuchukuwa kama 300 grams. Asante
kendakubonaontwale JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 201 Reaction score 25 Jun 1, 2019 #2 Ngoja waje