Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni muongo sana mjinga wewe,huwa siwapendi watu waongo maishaniMkuu umemaliza Kila kitu, ila soko la dhahabu kwa mtaji wa m100 ni pesa ndogo sana!
Option ya kuingia mwenyewe migodini kusaka dhahabu kama sio mzoefu Bora utenge hata milion kumi uingie field kwanza upate uzoefu, maana hakuna kitu watu wa machimboni wanapenda Kama kumpata mtu mwenye pesa ndefu ambaye Hana knowledge, watakufanyia kiini macho hutoamini kitachokukuta
Huyo hajui lolote kuhusu biashara ya dhahabuWewe ni muongo sana mjinga wewe,huwa siwapendi watu waongo maishani
Yaani humu ndani kuna vijana ambao kila kitu wanakijuaHuyo hajui lolote kuhusu biashara ya dhahabu
Eti mln 100 ni pesa ndogo sana
Ova
Asante kwa wakuu,
Mimi nilikuwa namaanisha au nilikuwa na lengo la kununua Dhahabu kwa “licensed dealers” ili nipate na makaratasi ya kushafirisha nje.
Sina mpango wa kwenda porini. nataka kujua kama hii biashara inaweza kuwa na faida kununua kwa dealer na ku export nje.Hii ni kwasababu bei karibia zinalingana.
Kuuza Dubai unaweza pata faida ya 15000 hadi 25000 kulingana na soko. Ila pia unaweza ukaacha mzigo wako bila kuuza na ukakubalina nao bei ikifika kiwango flani wafunge biashara ukapata faida zaidi kwa mfano.Mkuu,
mimi lengo langu ni kununua toka kwa “licensed dealers”, sio kichochoroni, na ku export. unavyo fikiri inaweza kulipa?
hapa nilipo bei ni Tshs 149,691 kwa 24k
nataka kujua kama nitaweza pata discount na vitu kadhalika kuona kama inaweza kuwa biashara nzuri.
asante
Umemaliza,Hiyo pesa wekeza kwenye hardware vifaa vya ujenzi havijawahi muangusha mtu kama unasimamia wewe.
Na usipofanya nilichokuelèza utakuja kunikumbuka naona pesa inakuwasha.
Btw kabla hujaenda kwenye madini umeisha kuwa mshirikina au unaenda kichwa kichwa?
Mimi naitwa luckyline niko hapa jf.