Biashara ya Dhahabu

Wewe ni muongo sana mjinga wewe,huwa siwapendi watu waongo maishani
 
Kwa mtaji huo mdogo kwa sasa hata gram 500 hununui ingia pori tu
 
Dealers nao wanauza nje lakinj kwa netwerk yako labda uwe broker maana huwezi peleka nje mzigo wa mil100 hapo hakuna faida. Peleka atleast kilo10 kuendelea. So wewe kwa sababu hauna mtaji kuwa kati kati ya wanunuzi wa nje na dealers wa tz
 
Kuuza Dubai unaweza pata faida ya 15000 hadi 25000 kulingana na soko. Ila pia unaweza ukaacha mzigo wako bila kuuza na ukakubalina nao bei ikifika kiwango flani wafunge biashara ukapata faida zaidi kwa mfano.
Hiyo pesa ni ndogo kwa kwenda Dubai ila ukitengeneza uaminifu na ukawa mpiga kazi watakupa pesa nyingi
 
Umemaliza,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…