Mwiba1
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,122
- 2,445
Wazee wa migodi je ni wapi naweza kwenda kuweka karasha langu kwa sasa? Vigezo vya eneo iwe kama ifuatavyo:
1. Ningependa kutegemea wateja kwani nina mambo mengi kwa sasa sina mtaji wa kuchimbisha wala kununua mawe labda yawe makali sana yanayoweza kunirudishia gharama.
2. Ningependa nje ya kanda ya ziwa maana kanda ya ziwa nimeshapiga sana kazi na ppm kwa sasa sio nzuri labda kwa kutumia gharama nyingi
3. PPM isiwe chini ya 5
Mwenye uelewa tujulishane, kwa mwenye eneo au duara na anauhakika wa mawe ya kutosha ninaweza kutoa karasha zaidi ya moja tupige kazi kwa asilimia
Nasubiri mirejesho karibuni.