Biashara ya dhahabu

Biashara ya dhahabu

Frank jb

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
418
Reaction score
120
Habari zenu wapendwa, ninaomba mwenye uzoefu wa biashara ya dhahabu, kununua migodini na kuuza kwenye masonara, biashara ikoje na kwa kuanza mtaji mdogo kabisa n kiasi gani? Naomba mnisaidie japo maarifa
 
Back
Top Bottom