F Frank jb JF-Expert Member Joined Jun 3, 2014 Posts 418 Reaction score 120 Jan 8, 2015 #1 Habari zenu wapendwa, ninaomba mwenye uzoefu wa biashara ya dhahabu, kununua migodini na kuuza kwenye masonara, biashara ikoje na kwa kuanza mtaji mdogo kabisa n kiasi gani? Naomba mnisaidie japo maarifa
Habari zenu wapendwa, ninaomba mwenye uzoefu wa biashara ya dhahabu, kununua migodini na kuuza kwenye masonara, biashara ikoje na kwa kuanza mtaji mdogo kabisa n kiasi gani? Naomba mnisaidie japo maarifa